Naombeni ushauri: Chuo kizuri cha afya/nursing

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,285
Nna mdogo wangu kapata matokeo yafuatayo
IV point 28
civ D
kisw C
eng D
biol D
chem D
geo F
hist D
maths F

Tunataka kumpeleka chuo cha afya maana amesema anaprefer hicho kuliko ualimu. Naomba anayefahamu chuo kizuri kwa mambo ya afya na itakuwa vizuri kama kitakuwa Arusha, Kilimanjaro au Manyara. Na ada yake kama unaweza kufahamu nitapenda pia kama utanifahamisha.

Pia na wakati gani wa kujiunga na hivi vyuo maana kiukweli hatujawahi kumsomesha mtoto kwenye ngazi hii kabisa!

Thanks wakuu!
 
Chuo kimoja kinaitwa BAKHITA kipo Nkasi Rukwa ni kizuri maana nna ndugu yangu yuko pale una Sh ngap!
 
Tatizo lako umwkuwa selective mara ooh arusha, kilimanjaro manyara. Inaonekana wewe hutaki huyo mdogo wako asome. Haya endelea kuchagua maeneo.
 
Da hujachelewa, mlete hapa wavenza Mbozi ni mil 1.5 kwa mwaka au sio zaidi we piga 0655981873
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…