Tangopori
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,628
- 1,285
Nna mdogo wangu kapata matokeo yafuatayo
IV point 28
civ D
kisw C
eng D
biol D
chem D
geo F
hist D
maths F
Tunataka kumpeleka chuo cha afya maana amesema anaprefer hicho kuliko ualimu. Naomba anayefahamu chuo kizuri kwa mambo ya afya na itakuwa vizuri kama kitakuwa Arusha, Kilimanjaro au Manyara. Na ada yake kama unaweza kufahamu nitapenda pia kama utanifahamisha.
Pia na wakati gani wa kujiunga na hivi vyuo maana kiukweli hatujawahi kumsomesha mtoto kwenye ngazi hii kabisa!
Thanks wakuu!