Naombeni Ushauri: Dalili za mtu ambaye ni HIV carrier

Mwambie aache woga Akapime,inalipa.
[emoji34]
 
Mapenzi hayo kafa kaoza

Kuna wimbo ulitoka miaka ya nyuma sana wa "Nibebeshe Ukimwi Nihangaike Nao", huu wimbo ungedhani ni matani lakini kumbe ni mambo ya kweli kabisa.

Ila waliufungia huu wimbo, ilikuwa ni style wao waliita Segere.
 
M natafuta mchuchu kua singel nmechoka ila shart kupima kwanza
 
Hofu uliyo nayo pia ni dalili ya kuwa na HIV mkuu.
[emoji470] [emoji470] [emoji470] nduki !!!!!
 
Angalia status take WhatsApp utajua tu kama in carrier au VP





HIV kwan ukimwi unaweza kupimwa kwa macho eeeh[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Habari wakati huu,

Mimi naombeni ushauri nitamjuaje mtu mwenye HIV carrier au ni dalili zipi zinaonyesha mtu mwenye HIV carrier.

Nasubiri ushauri

Kama hana dalili zozote huwezi kumtambua kwa macho!..
Njia pekee ni kupima at least mara mbili ukiacha nafasi ya muda wa miezi 3 baada ya kupima kwa mara ya kwanza!.
Na hata kama anadalili wewe huwezi kuzitambua kama sio daktari,na hata daktari atahisi na mwishoni njia pekee kugundua ni kipimo tu!..
 
Ukiona kanenepa saaana ujue anangoma... Ukiona anakupa hela saana ujue anangoma. Ukiona anakula sana matunda na mboga za majani. Basi ujue huo ni ushauri wa daktali kashafwaliki huyo.... Haya sema lingine tukupe ushauri
Hahahaaaa.... Dah
 
Kapime na macho. Take it serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…