iPhone6
Member
- Oct 22, 2014
- 43
- 40
UmejuajeMkuu naona unafanyia mazoezi Multi-Quote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmejuajeMkuu naona unafanyia mazoezi Multi-Quote
Umejuaje
Mwambie aache woga Akapime,inalipa.Jamani nashukuru kwa wote mlonipa ushauri chanya na mlio nikejeli pia I've made my decision, nimemwambia kama hawezi kucheck afya yake Mimi na yeye basi na mpaka dk hii hajareply .. Ila mm do nimeshatoa LA moyoni.. Thanks All japo sio easy imehitaji ujasiri
[emoji34]
Mapenzi hayo kafa kaozaSasa kama hamjielewi sisi tufanyaje? Mtu nilishakuwashia hazard, kila ukiuliza nakwambia hizi ni alama za hatari, halafu bado unaenda kuuliza mtaani eti zile ni alama za hatari au ananitania?
Mapenzi hayo kafa kaoza
Khaa wewee[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu rudia vipimo
Labda bdo vimejificha mpaka leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu rudia vipimo
Kwa Mwaka ungeshamjua kama anao, Hasa kama mnaishi jiraniTuna karibia mwaka , na tunatumia kinga lakn hizi kinga siziamin ndo maana natafuta solution kama mtu mwenyewe hataki kupima naweza mjua kwa njia gani
Habari wakati huu,
Mimi naombeni ushauri nitamjuaje mtu mwenye HIV carrier au ni dalili zipi zinaonyesha mtu mwenye HIV carrier.
Nasubiri ushauri
Hahahaaaa.... DahUkiona kanenepa saaana ujue anangoma... Ukiona anakupa hela saana ujue anangoma. Ukiona anakula sana matunda na mboga za majani. Basi ujue huo ni ushauri wa daktali kashafwaliki huyo.... Haya sema lingine tukupe ushauri
[emoji23] [emoji23]Khaa wewee[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ndio [emoji12] [emoji12] [emoji12]Labda bdo vimejificha mpaka leo
Kapime na macho. Take it seriousHahahah jmn kuumwa kichwa Mara kwa Mara ni dalili ya HIV haaaah msitufanyie ivyo mie kla siku naumwa kichwa na nimepima karibu Mara nne kila baada ya miezi mitatu Mara ya mwisho ni mwezi wa 11mwaka jna na nikawa Niko fresh,aya sasa wewe unaesema kuumwa na kichwa ni dalili inakuwaje munatuchosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poa poa wnguKapime na macho. Take it serious
Ila sasa vitakua vya muda mlefu wngu maana Mimi kichwa ndio ugonjwa wngu kila siku ASA umu ktk mishipa ya kichwaNdio [emoji12] [emoji12] [emoji12]