sandrahomary
Member
- Feb 8, 2017
- 30
- 15
Musimfanyie ivyo mwenzenuHofu uliyo nayo pia ni dalili ya kuwa na HIV mkuu.
[emoji470] [emoji470] [emoji470] nduki !!!!!
Kwenye kichwa hapo hata mm naungana nawe maana kichwa ni dalili ya magonjwa mengi mf. MalariaIla sasa vitakua vya muda mlefu wngu maana Mimi kichwa ndio ugonjwa wngu kila siku ASA umu ktk mishipa ya kichwa
Mkuu mm nimewazoea tu hao hata hawaniumizi kichwa[emoji2] [emoji2]Musimfanyie ivyo mwenzenu
HahahahMkuu mm nimewazoea tu hao hata hawaniumizi kichwa[emoji2] [emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila sasa vitakua vya muda mlefu wngu maana Mimi kichwa ndio ugonjwa wngu kila siku ASA umu ktk mishipa ya kichwa
Sasa hii career ya HIV kwa nini isitumike kujiingizia kipato?Ulikuwa haujui..Mimi shemeji yangu alikuwa hivyo na alikuwa ameua kama watatu hivi na mwingine Dada yangu ndio alimuugiza na kumzika lakini pamoja na yote waliishi na dada miaka kama kumi hivi bila Dada kujua shemu ni mwathirika..lakini Dada hakuwapata H.I.V. ila Shem alikufa baada ya Dada kupima na kuja Shem ni mwathirika... Xo mkuu watu hao wapo na wanawaua sana ila wao hata kutumia dawa ni big NOOOOP
Utamjua tuu kwakuwa hataki kwenda kupimaNamaanisha mtu ambae hamjaenda kupima kama ni boyfriend/girlfriend utamjuaje