Naombeni Ushauri: Dalili za mtu ambaye ni HIV carrier

Naombeni Ushauri: Dalili za mtu ambaye ni HIV carrier

Ulikuwa haujui..Mimi shemeji yangu alikuwa hivyo na alikuwa ameua kama watatu hivi na mwingine Dada yangu ndio alimuugiza na kumzika lakini pamoja na yote waliishi na dada miaka kama kumi hivi bila Dada kujua shemu ni mwathirika..lakini Dada hakuwapata H.I.V. ila Shem alikufa baada ya Dada kupima na kuja Shem ni mwathirika... Xo mkuu watu hao wapo na wanawaua sana ila wao hata kutumia dawa ni big NOOOOP
Sasa hii career ya HIV kwa nini isitumike kujiingizia kipato?
 
Dawa ni kupima na huwezi kujua kama anao maana dalili za HIV no tofauti na malaria,mpaka ujue hapo inakuwa muathirika amefikia hatua mbaya,nenda kapime acha kubeep beep
 
Back
Top Bottom