Naombeni Ushauri: Dalili za mtu ambaye ni HIV carrier

Japo umetumia lugha kali lakin inaakisi kabisa mazingira haya.

Sipati picha huyu dada anafikiriaje na kama kweli anajua ukubwa wa hatari anayoilealea kama yai.
Mkuu nishachukua uamuzi mgumu nishamwambia kile nilichokipata humu , nashukuru kwa ushauri wenu
 
Jamani nashukuru kwa wote mlonipa ushauri chanya na mlio nikejeli pia I've made my decision, nimemwambia kama hawezi kucheck afya yake Mimi na yeye basi na mpaka dk hii hajareply .. Ila mm do nimeshatoa LA moyoni.. Thanks All japo sio easy imehitaji ujasiri
 
wakuu angalieni post za deception hahaa by the way UKIMWI ni kitu ingine mm nshapitaga sehem mbaya.....nilikaa na waswas miez 9 hukuu nikiogopa kupimaa nikihis nimeukwaa aaah kumbe easy tyuu nlipima baada ya hio miez 9 japo kwa mbinde na nkakutwa swaafii sinaa kituu...yan saiiv kuliko nyapu aah bora nyetoo tyuu hainaa haja ya kuishi kwa stress
 
MKUU TAMBUA KUA KIRUSI CHA UKIMWI KIKIMWINGIA MTU KWA KUPIMA NI NDANI YA MIEZI MITATU KINAONEKANA LAKINI ET KWA MACHO TUUU HUWEZI KUJUA MPAKA UWE NA UTAALAM KIDOGO ....TAMBUA MTU ALIENAVIRUS ALAF HAJAPIMA NA AKAWA ANAMAISHA MAZURI KULA VIZUR ALAF ANAFANYA MAZOEZI BASI MTU HUYU ITAMCHUKIa MIAKA KUMI MPAKA KUMI TANO NDO SASA DALILI ZIANZE KUJITOKEZA ......KIKUBWA NI KUCHEK AFYA ILI SASA UJUE NAMNA YA KUEPUKANA NA UGAWAJI WA COOKIE OVYO OVYO .....

ALAF KAMA YE HATAK KUPIMA ACHANA NAYE ..UKIONA UNATUMIA KONDOM KWA "" MWENZI WAKO "" APA SIONGELEI MICHEPUKO NA MADEMU .....BASI UJUE UYO MWENZI WAKO HUKUSTAIL KUA NAYE ......WEW NI MWANAMME NALAZIMA UWE MWANAMME HALIS ....MWANAMKE ASIKUSUMBUE KWA JAMBO DOGO ILO ..KM HATAK KUPIMA PIGA CHINI ILA KAMA UNAWAZA UTAMPATA WAPI MWINGINE BASI ENDELEA NAYE ...

hints...
Kikishaingia mwiilin uwa kuna
...kuchoka kwa viungo
...kutokwa jasho
...kichwa kuumwa Mara kwa Mara .
Kuharisha NA kichefu chefu
....Kucha zavidole kutengeneza curved shape na KUA km zinamezwa na nyam ....

Daaahh mkuu kuelezea san kazi aseee ..

Plz kama ataki achana naye HAKUFAI...

or njoo PM.
 
Acha uzinzi, tumia kondom, au kapimeni.

BTW - Ukimwi siku hizi hautishi.
Huenda wameshafanya halafu ndio anasikia mtu huyo aliokuwa nao wameshakufa kama watano hivi...sasa anahitaji kuja hali ya mtu wake maana huenda amemfatilia labda anatumia dawa ila hajaona hata dalili....
 
Kumbe mpaka HIV Ina career!?
Ulikuwa haujui..Mimi shemeji yangu alikuwa hivyo na alikuwa ameua kama watatu hivi na mwingine Dada yangu ndio alimuugiza na kumzika lakini pamoja na yote waliishi na dada miaka kama kumi hivi bila Dada kujua shemu ni mwathirika..lakini Dada hakuwapata H.I.V. ila Shem alikufa baada ya Dada kupima na kuja Shem ni mwathirika... Xo mkuu watu hao wapo na wanawaua sana ila wao hata kutumia dawa ni big NOOOOP
 
wakuu angalieni post za deception hahaa by the way UKIMWI ni kitu ingine mm nshapitaga sehem mbaya.....nilikaa na waswas miez 9 hukuu nikiogopa kupimaa nikihis nimeukwaa aaah kumbe easy tyuu nlipima baada ya hio miez 9 japo kwa mbinde na nkakutwa swaafii sinaa kituu...yan saiiv kuliko nyapu aah bora nyetoo tyuu hainaa haja ya kuishi kwa stress
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] mkuu sasa hiyo nyeto c ndo mbaya zaidi
 
MKUU TAMBUA KUA KIRUSI CHA UKIMWI KIKIMWINGIA MTU KWA KUPIMA NI NDANI YA MIEZI MITATU KINAONEKANA LAKINI ET KWA MACHO TUUU HUWEZI KUJUA MPAKA UWE NA UTAALAM KIDOGO ....TAMBUA MTU ALIENAVIRUS ALAF HAJAPIMA NA AKAWA ANAMAISHA MAZURI KULA VIZUR ALAF ANAFANYA MAZOEZI BASI MTU HUYU ITAMCHUKIa MIAKA KUMI MPAKA KUMI TANO NDO SASA DALILI ZIANZE KUJITOKEZA ......KIKUBWA NI KUCHEK AFYA ILI SASA UJUE NAMNA YA KUEPUKANA NA UGAWAJI WA COOKIE OVYO OVYO .....

ALAF KAMA YE HATAK KUPIMA ACHANA NAYE ..UKIONA UNATUMIA KONDOM KWA "" MWENZI WAKO "" APA SIONGELEI MICHEPUKO NA MADEMU .....BASI UJUE UYO MWENZI WAKO HUKUSTAIL KUA NAYE ......WEW NI MWANAMME NALAZIMA UWE MWANAMME HALIS ....MWANAMKE ASIKUSUMBUE KWA JAMBO DOGO ILO ..KM HATAK KUPIMA PIGA CHINI ILA KAMA UNAWAZA UTAMPATA WAPI MWINGINE BASI ENDELEA NAYE ...

hints...
Kikishaingia mwiilin uwa kuna
...kuchoka kwa viungo
...kutokwa jasho
...kichwa kuumwa Mara kwa Mara .
Kuharisha NA kichefu chefu
....Kucha zavidole kutengeneza curved shape na KUA km zinamezwa na nyam ....

Daaahh mkuu kuelezea san kazi aseee ..

Plz kama ataki achana naye HAKUFAI...

or njoo PM.
Mkuu asante kwa ushauri na nimeshafanya maamuzi
 
Ulikuwa haujui..Mimi shemeji yangu alikuwa hivyo na alikuwa ameua kama watatu hivi na mwingine Dada yangu ndio alimuugiza na kumzika lakini pamoja na yote waliishi na dada miaka kama kumi hivi bila Dada kujua shemu ni mwathirika..lakini Dada hakuwapata H.I.V. ila Shem alikufa baada ya Dada kupima na kuja Shem ni mwathirika... Xo mkuu watu hao wapo na wanawaua sana ila wao hata kutumia dawa ni big NOOOOP
Yeah nakubaliana nawe na walio wengi ni wale wenye damu O+
 
Back
Top Bottom