Naombeni Ushauri: Dalili za mtu ambaye ni HIV carrier

Naombeni Ushauri: Dalili za mtu ambaye ni HIV carrier

Hahahah jmn kuumwa kichwa Mara kwa Mara ni dalili ya HIV haaaah msitufanyie ivyo mie kla siku naumwa kichwa na nimepima karibu Mara nne kila baada ya miezi mitatu Mara ya mwisho ni mwezi wa 11mwaka jna na nikawa Niko fresh,aya sasa wewe unaesema kuumwa na kichwa ni dalili inakuwaje munatuchosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu rudia vipimo
 
Hahahah jmn kuumwa kichwa Mara kwa Mara ni dalili ya HIV haaaah msitufanyie ivyo mie kla siku naumwa kichwa na nimepima karibu Mara nne kila baada ya miezi mitatu Mara ya mwisho ni mwezi wa 11mwaka jna na nikawa Niko fresh,aya sasa wewe unaesema kuumwa na kichwa ni dalili inakuwaje munatuchosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo fresh pia
naomba tutembeleane
weekend hii.
 
...kuendekeza njaa utaendelea kutombwatombwa hovyo ufe kwa stress!
..get a life,bitch!
[emoji34]
Thanks for the advice [emoji120] [emoji120]

Mkuu nitajitahid though sio easy ila hakuna namna , Thanks kwa ushauri

Kwani lazima uwe nae huyo?kama hataki kupima maana yake anajua nyendo zake na zinamtia shaka.Sasa wewe unakomaa na ngoma unaogopa na kondomu umechoka?ajabu hii..

Vizuri, naona unatoa ushauri wa jinsi ya kumtambua mwenye HIV kwa macho.

Kama umeshazini nae Nenda tu kwa doctor

Hahahaa! Kama wanaume mmeanza kugoma kwenda kupima unadhani atafanyaje?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] mkuu sasa hiyo nyeto c ndo mbaya zaidi
 
Back
Top Bottom