kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,053
Katika maisha yangu sijui kama nimeumbwa na moyo ambao uko tofauti na wanaume wenzangu
Moyo wangu umeumbwa na asili ya kurizika
Kwasababu hiyo basi mimi sinaga uwazo wa kupenda au kutamani mwanamke mwingine tofauti na yule niliyenaye na ikitokea nimependana na mwanamke mwingine lazima ni msahu niliyenaye au kuachana naye ndo ninaingia kwenye penzi jipya
Sasa nimekuwa napitia shida kwenye ndoa yangu ya kunyimwa tendo la ndoa mke wangu amekuwa natabia fulani ya kuchukulia tendo la ndoa kama kitu cha kawaida
nimejaribu kutafuta suluhisho kwenye mambo mengi labda ninaweza kumfanya afurahie tendo la ndoa lakini naona bado tabia zake ni zile zile
Na mimi kutokana akili yangu nikiingie kwenye penzi na mchempuko lazima nimuache lakini sipendi kwasababu ana watoto wangu
Ninaweza vipi kutokana na pepo hili la kurizika ndugu zangu na mimi ni furahie maisha mafupi ya hapa duniani