Tesla Motors
Member
- Nov 26, 2017
- 62
- 26
Kwanza poleni na majukumu ya kila siku ndugu!
Mnamo mwaka jana mwezi wa 6 nilikutana na binti mmoja kimwili na ilikuwa bila kinga (tulisex dak 3-5).
Baada ya hapo nikajikuta sina amani na kufatilia kidogo nikaja kujua mwanamke ni HIV positive yaani confirmed na anatumia dawa mwaka wa 3.
Nikajikuta mwenye hofu mno na nikajua ndo nshaathirika, nikawa nasoma zile early HIV STMPTOMS za mtandaoni ambazo ni
Mafua
Maumivu ya misuli
Maumivu ya viungo
Maumivu ya kichwa
Matezi kuvimba
Na vipele
Dalili zingine zote niliziona isipokuwa vipele, homa na kichwa vilidumu siku 4, matezi sina uhakika kama yalivimba au hayajavimba maana, mm kila nikigusa matezi ya kwenye nyonga huwa nayahisi.
Nikapima baada ya wiki 13 nikakutwa NEGATIVE
Baada ya Hapo sijawahi kusex bila CONDOM.
ikawa tabia yangu kusex kwa condom mpaka sasa maana najikuta sijiamini mimi wala ninayefanya nae!
Sasa tatizo linakuja. Mf nikisex hata nikitumia condom halafu siku chache baada ya kusex nkiona kidalili kama nlivotaja hapo juu napatwa na Hofu
Huwa nasoma hapa mara kwa mara na nokiona forum yenye kuzungumzia UKIMWI huwa kuna hofu inaniingia hivi
Kingine, mimi sijiamini kabisa, najikuta najipa moyo kwamba sina huo ugonjwa ila nafsi ina hofu sana, pamoja na kuwa negative baada ya week 13
Pia nina Mchumba ambae tunapendana sana, nikisex nae natumia condom mpaka anahsi simuamini kitu ambacho kimeleta vurugu kwenye uhusiano wetu!
Nishaurini Ndugu Nifanyeje Maana nimekaa na huu Mzigo Moyoni kwa Mwaka na Nusu sasa