Ndio ndugu naomba nifunze namna ya kukataa hofuu...japo swala la Condom nipo fixed bila condom sifanyi hio ni Formula Kwangu
Hofu ni zao la fikra ambalo hutokana na upungufu wa imani chanya juu ya Jambo ama kitu!!
Mfano.wewe unaogopa sana UKIMWI na bada ya kugundua umesex na muathirika wa VVU ulijaa hofu juu ya usalama wa afya yako.
Ukakosa kujiamini,na ukaamua kutumia condom ukidhani ndio njia sahihi ya wewe kujihakikishia usalama wako.
Jambo ambalo limekusababishia madhara ya kutokujiamini bila kutumia condom,kiasi cha kukufanya uione condom ndo kinga pekee ya kukufanya uepuke maambukizi.
Matumizi ya condom ni mhimu sana lakini siyo lazima siku zote hasa kwenye mahusiano yakudumu"serious and committed relationship ".
Kutumia condom kila siku kunaweza kuzuia imani njema Kati yenu.mfano umesema mpenzi wako anahoji kitendo cha wewe kusistiza matumizi ya condom kila siku hata pasipokuwa na ulazima.
Lakini yote haya ni madhara ya hofu,ambayo imetokana na imani potofu " nikifanya bila condom ntapata UKIMWI "itafika hatua kila mwanamke utahisi ana-UKIMWI!
Ninikifanyike:
1.Badili mtazamo wako kuhusu UKIMWI NA MAHUSIANO YAKO.Jitahidi uwe na mahusiano ya kueleweka pamoja na Elimu sahihi kuhusu UKIMWI ili ukiugua mafua usiwaze ni UKIMWI
2.Sahau makosa yako ya kimapenzi mfano.hiki kisa cha Leo kiwe funzo tuu lakini isiwe sehemu ya fikra zako za kudumu.
3.Jitahidi kujenga mfumo sahihi wa maisha.Kuwa karibu na watu wanaokujenga na kukufanya ufrahie maisha,jishughulishe,usipende kukaa pekeyako na kujikumbusha makosa uliyowahi kujitendea.JISAMEHE!!!