Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
Forget about wa kwanza, mzushi hana akili hata moja, kwa huyo wa pili tunahitaji kujua mengi? alishawahi oa akaacha? alifiwa mke? ana watoto? kama alifiwa mke go for him, kama aliacha mke, mwangalie huyo ni kizunguruka moto achana nae subiri Mungu akupe wako.
Fanya consultation na roho yako, na ufanye vile unavyofikiria.
All the best
sasa hapo unaolewa kwasababu unalazimishwa na mazingira yaliyopo au kwasababu ya mapenzi?????so funny!
Kwanza kabisa mwambie anatatizo ambalo wasichana wengi wanalo la kutaka kuolewa tu bila kutaka kufanya utafiti na kujiridhisha. Pili yupo kwenye kundi la wasichana ambao hawana ujuzi wa kutambua muoaji huwa anavigezo gani (Tatizo hilo linawakabili wasichana wengi). kimsingi ni kuwa wate hao wawili hakuna muoaji, na yeye tayari ameshagundulika kuwa anahitaji kuolewa, hilo ni kosa kubwa ambalo wanawake/wasichana wanalifanyanya na ni mtego rahisi wa kuwanasa. Nasikitika kwamba kuna mambo kadhaa ambavyo siwezi kuyataja hapa kwenye JF ambavyo yanngemsaidia kujua tabia za wanaume. hata hivyo mwambie bado hajapata mtu wa kumuoa!!!!! hao wote mamabo yao ni.... :spit:
hakuna swala la mazingira hapo, mdada yupo tayari kuolewa, mkaka(45yrs) yupo tayari kuoa, huyo anaem date hayupo serious, sasa kama kampata mwenye mapenzi, ana care, kampenda, karidhika nae kwanini asiolewe akae asubiri hao wa 30's ambae tayari anae lakini hana msimamo?...Pearl mwambie kabisa am face huyo asie na mcmamo amwambie straight kuwa amepata mtu mwenye future nae so anataka kusonga mbele na maisha, hakuna cha kuwaza atamwabmiaje wala nini... awe mkweli aendelee na mpango yake ya ndoa.
thx dia will do that,yooote mnayoandik na copy na kumtumia,thx kwa ushauri,yani yule mkaka wa 30 hata harusi za marafiki zetu wengine huwa haendi,za marafiki /ndugu zake hasemi kabisa mm pia simuelewi kwakweli
A girls always deep down in prayers pleading to the Almighty God for the Super Loving Husband.... Mimi naona hapa tatizo ni mwanamke kumpenda mwanamme ambaye hakupendi. Ni rahisi kugundua! If a man can't even call you once in a day let alone meeting you in month (nafikiri binti atatafutwa wakati jamaa atataka kumaliza shida zake za ulijali) jua kwamba hauko moyoni mwake, tafuta hamsini nyingine.
Sasa katokea njemba nyingine ni 45 yrs old.. what in the name of God was this man waiting for in order to get married? Miss / Mrs Right? Au alikuwa shule ndo kamalizia Phd yake. a lot has to be scrutinised au ndo kafiwa na wanawake labda wengi ambao hakuwahi kuzaa nao? There must be a very good convincing reason as to his delay to get married.
Ila ukichunguza saana kuku hutomla. Don't let this new man get what it takes to be the 'nuclei of marriage happiness' (msibanjuane) before marriage. Jitangazeni koote na uone if this new mchumba doesn't 'chicken out' of the uchumba. OTHERWISE age doesn't count in marriage.
I got married at 48 to the girl of 30. We have three children now and we are happy.

msome vizuri Pearl hayo yote kayaelezea....sasa hapo ona unataka kama kumshangaa mwenzio wakati wewe ulioa na age kubwa zaidi yake?[/QUOTE]
Nyamayao; at 50 I was still an un engaged bachelor and my wife was was still a spinster at 30. I waited for so long to start a family because I had a young ones to support kwa mengi by then (although this is another story altogther).
Mchumba mpya ana familia tayari, ndoa alifunga governemnt.... apprehension has to be carefully in making a take or no take decision.
thx kwa ushauri mzuri jamaa aliachana na mkewe wana watoto wawili wakubwa age 19,15,walifunga ndoa ya gvment
NOOOOOOO. NO.
Kabla ya kuwa convinced hebu kwanza jibu haya;
Huyo 45 aliachana na mkewe lini? Wana watoto? Alishinndwaje kumshawishi mkewe akaishi naye migodini? Huyo mkewe yuko hapa Tz? Waliishi mda gani kabla ya kuachana? Kama sio mtanzania ana mpango gani baada ya biashara zake kwisha? Ana biashara sehemu nyingine? Atamhakikishiaje kama huko kwao hana mke?
Usituzuge bana,huyo bint atakuwa wewe tu,usione Noma.nimemuuliza yoooote hayo,huyu wa pili anamgodi wake so anataka akaishi nae huko kwenye migodi na yy anasema hana neno maisha popote.wa kwanza hajaoa but mm nahisi ana madem
kama walivyosema wengine huyo wa kwanza hayuko serious naye.huyo wa pili umri si tatizo kama wanapendana,ila ni muhimu amjue vizuri!