Naombeni ushauri: Je, ninunue simtank nihifadhie maji au nijenge Kalo?

Naombeni ushauri: Je, ninunue simtank nihifadhie maji au nijenge Kalo?

Nunua simtank, baada ya ujenzi litakusaidia kuifadhia maji ya familia, ushauri wangu nunua simtank ambalo hata kwa baadae litasaida kwenye familia, usinunue dogo sana angalau mil 5000 au 3000
 
Nunua simtank, baada ya ujenzi litakusaidia kuifadhia maji ya familia, ushauri wangu nunua simtank ambalo ata kwa baadae litasaida kwenye familia usinunue dogo sana. angalu mil 5000 au 3000
La lita 5000 ni kubwa na gharama na very delicate , by the time anamaliza ujenzi laweza lisifae tena.

Standard ni lita 2000 , 3000 max hili unatumia kuanzia ujenzi hadi familia mkianza kuishi.

Vema ukalifukia nusu ardhini kwa usalama wa tenk lenyewe
 
La lita 5000 ni kubwa na gharama na very delicate , by the time anamaliza ujenzi laweza lisifae tena
Standard ni lita 2000 , 3000 max hili unatumia kuanzia ujenzi hadi familia mkianza kuishi
Vema ukalifukia nusu ardhini kwa usalama wa tenk lenyewe
Hakuna cha standard wala nini. Size inategemea na uwezo wake namba ya watumiaji na upatikanaji wa maji eneo husika. Lita 5000 au 10000 ndiyo simtank s za kununua. 1000 au 2000 ni shida tu
 
Mie ujenzi wangu wa kwanza nilifanya kuchimba chemba ndogo ya choo (maji taka) kwanza kisha ndio nikawa nahifadhia maji kipindi chote cha ujenzi nilipomaliza ndio nikanunua matenki ya juu baada ya kuanza kufunga mifumo ya maji na shimo nikalitumia kwa kazi yake husika

Mpk leo mradi wowote wa ujenzi natumia kanuni hiyo hiyo
 
Hapo pa kufukia hapana kama ni hivyo ni bora ajenge karo,kwanza karo anaweza kujenga kubwa la kutosha hata for rain water harvesting
Inawezekana tumejenga zones tofauti na ndio sababu tunatofautiana
Pwani tunalifukia nusu hilo simtank, hii inapunguza gharama za ulinzi maana ukiliacha juu juu usiku vibaka wanakuja wanamwaga maji wanaondoka nalo
Pili hata ku access Maji ya ujenzi likifukiwa nusu inakuwa rahisi kuchota na kujaza Maji
Tatu kama likiwa juu na ni yale makubwa ikitokea halikukaaa level chances za kuanguka likiwa na maji na kupasuka ni kubwa

Karo kwa maeneo yenye mfinyanzi kama huku pwani , huwa yanapasuka na kuvujisha maji
 
Nunua simtank, baada ya ujenzi litakusaidia kuifadhia maji ya familia, ushauri wangu nunua simtank ambalo hata kwa baadae litasaida kwenye familia, usinunue dogo sana angalau mil 5000 au 3000
Nashukur kwa ushaur wako
 
Back
Top Bottom