t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Mkuu vijana hawa tuwaache kama walivyo , hata hakuelewa mantiki yangu , alichofanya ni kukumbuka shughuli zake za kichawi na babu yake shamba huko , honestly sijaelewa maana zaidi ya hiyoKwann amekuwa mchaw?
Ukiachana na hayo ujenzi pia una raha yake ndo Mana napenda kushauri lolote ninalolijua kuhusu ujenzi , I'm not the best at it Ila kwenye ku save nipo vzr , hapa nina ujenzi darasa kongowe huko target yangu nataka nihamie kwenye nyumba bila kuspend 10 million. Nikifanikiwa naleta mrejesho