Ferdinand Junior
Member
- Jan 27, 2021
- 31
- 21
Nashukuru kwa ushauri wakoSim tank ndio rahisi ila ukijenga ndio itadumu
Ujenge Kalo la kuhifadhi maji gani? Ya mvua ama ya Dawasa?Natumain wato mko poa Wana Jf..
Nataka kuanza ujenzi ila eneo la kiwanja maji ni changamoto. Naomben ushauri ninunue simtank o nijenge Kalo ili niweze kuhifadh maji na ipi hautakuwa na gharama?
La lita 5000 ni kubwa na gharama na very delicate , by the time anamaliza ujenzi laweza lisifae tena.Nunua simtank, baada ya ujenzi litakusaidia kuifadhia maji ya familia, ushauri wangu nunua simtank ambalo ata kwa baadae litasaida kwenye familia usinunue dogo sana. angalu mil 5000 au 3000
Afukie? We mchawi siyo bureLa lita 5000 ni kubwa na gharama na very delicate , by the time anamaliza ujenzi laweza lisifae tena
Standard ni lita 2000 , 3000 max hili unatumia kuanzia ujenzi hadi familia mkianza kuishi
Vema ukalifukia nusu ardhini kwa usalama wa tenk lenyewe
Uchawi umekujaje hapo ? Umewahi hata kumiliki karo la Maji taka ?Afukie? We mchawi siyo bure
Hapo pa kufukia hapana kama ni hivyo ni bora ajenge karo,kwanza karo anaweza kujenga kubwa la kutosha hata for rain water harvestingUchawi umekujaje hapo ? Umewahi hata kumiliki karo la Maji taka ?
Nilichomshauri ungekuwa umejenga ungeelewa
Hakuna cha standard wala nini. Size inategemea na uwezo wake namba ya watumiaji na upatikanaji wa maji eneo husika. Lita 5000 au 10000 ndiyo simtank s za kununua. 1000 au 2000 ni shida tuLa lita 5000 ni kubwa na gharama na very delicate , by the time anamaliza ujenzi laweza lisifae tena
Standard ni lita 2000 , 3000 max hili unatumia kuanzia ujenzi hadi familia mkianza kuishi
Vema ukalifukia nusu ardhini kwa usalama wa tenk lenyewe
Inawezekana tumejenga zones tofauti na ndio sababu tunatofautianaHapo pa kufukia hapana kama ni hivyo ni bora ajenge karo,kwanza karo anaweza kujenga kubwa la kutosha hata for rain water harvesting
chimba kisima thanks me latter. Au namshauri vibaya ndugu zangu?Natumaini wote mko poa Wana Jf..
Nataka kuanza ujenzi ila eneo la kiwanja maji ni changamoto. Naombeni ushauri ninunue simtank au nijenge Kalo ili niweze kuhifadhi maji na ipi hautakuwa na gharama?
Tank la lita 10000 kwa ajili ya ujenzi ??? Any way tunatofautiana kipato lkn at least kuwe na logic ya kufanya vitu .Hakuna cha standard wala nini. Size inategemea na uwezo wake namba ya watumiaji na upatikanaji wa maji eneo husika. Lita 5000 au 10000 ndiyo simtank s za kununua. 1000 au 2000 ni shida tu
Kusima kinategemea na topography kwa maeneo yenye mfinyanzi kisima sio big deal. Hasara.c
chimba kisima thanks me latter. Au namshauri vibaya ndugu zangu?
Kutokana na kipind hch maji changamoto nikuleta boza na kuniwekea maji na mvua ikinyesha itasaidia piaUjenge Kalo la kuhifadhi maji gani? Ya mvua ama ya Dawasa?
Nashukur kwa ushaur wakoNunua simtank, baada ya ujenzi litakusaidia kuifadhia maji ya familia, ushauri wangu nunua simtank ambalo hata kwa baadae litasaida kwenye familia, usinunue dogo sana angalau mil 5000 au 3000
Nashukur kwa ushaur wakoLa lita 5000 ni kubwa na gharama na very delicate , by the time anamaliza ujenzi laweza lisifae tena
Standard ni lita 2000 , 3000 max hili unatumia kuanzia ujenzi hadi familia mkianza kuishi
Vema ukalifukia nusu ardhini kwa usalama wa tenk lenyewe
Kwann amekuwa mchaw?Afukie? We mchawi siyo bure