co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,541
- 2,487
Hello humu jf,
Hebu tusaidiane mawazo na mtizamo huyu mtu ananiona vipi?
Mimi ni kijana na umri wangu miaka 28 sijao
Sasa kuna mwana kitaa hapa ninapoishi yeye ameoa na mtoto mmoja umri wake ni kama miaka 22.
Huyu jamaa kucha kila siku kunipiga vizinga mara oho dogo anaumwa nimpe hela ooh mara leo sielewi familia itakula nimpe hela na sio kwamba ni mkopo wala nini yaan ni msaaada ndo anaomba
Huwa namsaidia nikiwa nayo ila naona its too much,maana na mimi pia natakiwa kuwa na maisha yangu
Ushauri how to deal na mtu wa hivyo in good way