EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Fanya maamuzi kama ya trump
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan hata mm nachokaga wa kweliKuna neno linaitwa SINA...umeshawahi kulisikia?
Ile 50k ntumie Leo rafiki usisahau sijala fanya hivyoJaman sipendi kuombwa hela na watu wa ajabu ajabu, unakuta mtu mmekutana instagram au facbk, anakuchatisha mwisho wa siku anakuomba hela nachukia sanaa
📌Mpe hela yeye na demu wake alafu mtongoze huyo demu eake akijaa jipigie!!!Hello humu jf,
Hebu tusaidiane mawazo na mtizamo huyu mtu ananiona vipi?
Mimi ni kijana na umri wangu miaka 28 sijao
Sasa kuna mwana kitaa hapa ninapoishi yeye ameoa na mtoto mmoja umri wake ni kama miaka 22.
Huyu jamaa kucha kila siku kunipiga vizinga mara oho dogo anaumwa nimpe hela ooh mara leo sielewi familia itakula nimpe hela na sio kwamba ni mkopo wala nini yaan ni msaaada ndo anaomba
Huwa namsaidia nikiwa nayo ila naona its too much,maana na mimi pia natakiwa kuwa na maisha yangu
Ushauri how to deal na mtu wa hivyo in good way
Kusaidia kunataka moyo sana na ni wachache wenye na moyo huo maana weengii tunachoka.Hello humu jf,
Hebu tusaidiane mawazo na mtizamo huyu mtu ananiona vipi?
Mimi ni kijana na umri wangu miaka 28 sijao
Sasa kuna mwana kitaa hapa ninapoishi yeye ameoa na mtoto mmoja umri wake ni kama miaka 22.
Huyu jamaa kucha kila siku kunipiga vizinga mara oho dogo anaumwa nimpe hela ooh mara leo sielewi familia itakula nimpe hela na sio kwamba ni mkopo wala nini yaan ni msaaada ndo anaomba
Huwa namsaidia nikiwa nayo ila naona its too much,maana na mimi pia natakiwa kuwa na maisha yangu
Ushauri how to deal na mtu wa hivyo in good way
GoodKusaidia kunataka moyo sana na ni wachache wenye na moyo huo maana weengii tunachoka.
Hata mimi huwa nikimsaidia mtu ikawa kila siku ananiletea shida naanza kuona ananichukulia poa. Ila nimejifunza kujaribu kuendelea kumsaidia tu maana huena anapitia magumu kama nikiweza.
Kuna dada hapa mtaani nmeanza kumpush toka mwaka jana mwez kama wa 3 kuna muda naona kama sasa amezidi ila nakemea nafsi nasema endelea kusaidia pale unapoweza.
Sasa naona ameanza kuniambia eti mtoto wake mmoja anasema mimi ndiye ananiona kama baba yake. Hiiyo story kila sikua anairudia mimi no comment.
PoleeeeYaani halafu sisi ambao hatujaoa wanatuona hamnazo
Kwan hana shughuli ya kumuingizia kipato?kama hana basi jaribu kumtafutia hata vibarua walau aingize miambili Mia tatu ulizia hata kwa washkaji zako wa karibu kama kuna sehemu kuna vibarua aende akapige kazi aache kukusumbua,hapo namuonea huruma hicho kiumbe chake tu.Hello humu jf,