inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 597
- 651
Mkuu, anything cheap is expensive.Habari wana jf.Nimekuwa nikipita pita kupatana.Unakutana na gari linaonekana lipo order sana,ila bei yake ni ndogo sana.Kuna muda huwa napata mashaka huenda gari hizo zimeibiwa.
Naombeni ushauri je naweza kujihadhari vipi,endapo gari kweli ni zima ila labda lina simtofahamu ili nisije kuingia kwenye migogoro nq vyombo vya sheria.
Matapeli wamejaa huko. Kuna mtu aliwahi kupost gari huko anauza bei nafuu sana. Walisema gari iko Tabora. Hapo wanawasiliana na dada yangu. Alipomtuma mtu mwingine (mwanaume) akalikague, na kuwaambia katuma mtu, hawakupokea tena simu.Habari wana jf.Nimekuwa nikipita pita kupatana.Unakutana na gari linaonekana lipo order sana,ila bei yake ni ndogo sana.Kuna muda huwa napata mashaka huenda gari hizo zimeibiwa.
Naombeni ushauri je naweza kujihadhari vipi,endapo gari kweli ni zima ila labda lina simtofahamu ili nisije kuingia kwenye migogoro nq vyombo vya sheria.
Asante sana kwa kunipa mwanga,vipi kama gari imepita mikono ya zaidi ya mtu mmoja na haijabadilishiwa jina na ikanifikia mm.Hapo nafanyajeMkuu wewe nunua usiogope chochote.
Kubwa ukipenda gari hakikisha unalicheki TRA
1. Hakiki majina matatu kwa kutumia number za gari je zinafanana na kadi ya gari
2. Hakiki hayo majina yanafanana na kitambulisho mtu aliekuzia.
3. Hakiki kama halina madeni na sio exempted
4. Mkataba wa mauziano mpe mtu hela yake walausiogope beba gari lako.
5. Hakikisha unafundi wako ahakikishe kila kitu kiko sawa kwa test drive.
Usisahau picha passport size na id copy kwa ajili ya kufanya transfer na akupe file la gari
Note: Usinunue gari kwamtu ambae sio mmiliki yaani unaona tofauti kuanzia kitambulisho cha mmiliki na kadi majina hayafanani au kwenye mfumo wa Tra na Id ya mmiliki hayafanani.
Lamwisho kuwa makini na madalali wa Kinondoni na Sinza kwa magari ya mkononi wazee wa kula bata hawachelwi kubaki na funguo au kutoa vitu mkikubaliana kuuziana wakati wewe unaenda kutoa hela[emoji3][emoji3][emoji2]
Kaka ulipatwa na nn.Hebu shareKupatana Sehemu ya kipumbavu Sana yaani kuwa Makini sana ishaniweka Siku 10 ndani kwa ajili ya Vitu Used hivi.
Naona insta ni sehemu sahihi sana kwa ajili ya kupata Gari nzuri hasa Mfatilie jamaa anaitwa Jacktan_Safari huyu huwa anakuunga na mwenye Mali directly sijawahi fanya nae biashara ila naona jamaa hana Tamaa.
Achana nayo hapa unaweza kuuziwa gari yenye matatizo.Asante sana kwa kunipa mwanga,vipi kama gari imepita mikono ya zaidi ya mtu mmoja na haijabadilishiwa jina na ikanifikia mm.Hapo nafanyaje
Sio lazima gari ya mkononi iwe mbovu maana hata za japan ni 2nd hand.Shida kubwa ni ubovu wa magari ya mkononi...ukinunua lazima ununue na toolbox
Kama ni Yard inamaana kadi ya gari isome jina la kampuni na details za chasis, engine, na mfg zifanane na chombo na upewe efd receipt baada ya malipo hapo utakuwa salama hata kama umenunua kinondoni manyanya [emoji1]Sikuhizi watu hawauzi magari ya wizi hakuna kitu kama hicho.... gari ikiibiwa inaenda kukatwa vipande na kila chombo kitauzwa separately.
Kuna yard za magari nazijua hata Kwa majina wanauza magari yaliyotumika hapa bongo ambayo ni kuanzia namba T.....DU Hadi DZ haya magari yanabadilishwa kila kibovu na yanashushwa milage ambapo mteja atanunua kama limetumika Japan...ukiwa na gari namba D imesimama na haikupata ajali unaweza kuwauzia watu wa yard bila shida
Nakumbuka mama yangu alinunua huko kupatana yaani ilo gari lilkuwa kichomi, nikushauri kama unataka gari jichange uagize gari kulingana na pesa yako, ukipata gari mpya yaani utafurahi sana kulipokea pale bandarini yaani full burudaniHabari wana jf.Nimekuwa nikipita pita kupatana.Unakutana na gari linaonekana lipo order sana,ila bei yake ni ndogo sana.Kuna muda huwa napata mashaka huenda gari hizo zimeibiwa.
Naombeni ushauri je naweza kujihadhari vipi,endapo gari kweli ni zima ila labda lina simtofahamu ili nisije kuingia kwenye migogoro nq vyombo vya sheria.
Naongeze kamwe asikubari WAKILI AMLETE MUUZAJITafuta wakili,
Andikisha mkataba na thibitisha umiliki
Kuwa na mashahidi
Lipa kwenye account yenye jina la muhusika kwenye Kadi.