Naombeni ushauri jinsi ya kujihadhari nisiuziwe gari la wizi

Naombeni ushauri jinsi ya kujihadhari nisiuziwe gari la wizi

Kupatana Sehemu ya kipumbavu Sana yaani kuwa Makini sana ishaniweka Siku 10 ndani kwa ajili ya Vitu Used hivi.

Naona insta ni sehemu sahihi sana kwa ajili ya kupata Gari nzuri hasa Mfatilie jamaa anaitwa Jacktan_Safari huyu huwa anakuunga na mwenye Mali directly sijawahi fanya nae biashara ila naona jamaa hana Tamaa.
Jacktan hana tamaa kabisa mkuu
 
Habari wana jf.Nimekuwa nikipita pita kupatana.Unakutana na gari linaonekana lipo order sana,ila bei yake ni ndogo sana.Kuna muda huwa napata mashaka huenda gari hizo zimeibiwa.
Naombeni ushauri je naweza kujihadhari vipi,endapo gari kweli ni zima ila labda lina simtofahamu ili nisije kuingia kwenye migogoro nq vyombo vya sheria.
Mshirikishe Askari wa usalama barabarani......awe mcha Mungu......ukifanikiwa mpoze
 
Back
Top Bottom