Hakuna vibali vya kuuza supermarket bali kuna vibali vya kutengeneza na kuuza chakula ambavyo hutolewa na Tfda pamoja na Tbs ila kwa bongo unaweza kuuza tuu bila hivyo vibali ila kabla hujaanza kutengeneza tafuta oda kwanza maana ushindani ni mkubwa na Unga unaharika mapema hivyo tafuta oda kwanza