Aunty kemmy
Member
- Dec 13, 2013
- 46
- 23
Nataka kuanza biashara ya kutengeneza na kuuza unga wa lishe kwa watoto na wakubwa. Sasa changamoto nilonayo ni pa kupata vifungashio vya unga. Na pia soko lake nalifanya vipi ili niuze unga wangu vizuri. Na je process zikoje ili nipate vibali vya kuuza kwenye supermarkets. Any idea?ntashukuru