Naombeni ushauri juu ya hizi kozi

Naombeni ushauri juu ya hizi kozi

ngotho

Senior Member
Joined
Jun 18, 2021
Posts
142
Reaction score
111
wakuu habarini za saa hizi?

Nimechaguliwa kusoma kozi zifuatazo.
1: bachelor of business information technology pale (UDSM NA MZUMBE).
2: bachelor of sciences in computer system and network pale ARDHI UNIVERSITY.

wakuu kwa kuangalia uwanja wa ajira (kujiajiri/kuajiriwa), ni kozi gani ni nzuri kusoma kati ya hizo najua mtaniuliza et napenda kuwa nani in future... but mpaka sas nipo njia panda wakuu naombeni kunijuza kuhusu hizo kozi.

Na kwa kila kozi mtu anaweza kuajiriwa/kufanya kazi sehemu zipi?

Natanguliza shukhranii wakuu wangu..
 
Nenda Ardhi.

Utanishukuru baada ya 5 years
 
Nenda Ardhi.

Utanishukuru baada ya 5 years
mkuu naomba bac unijuze kidogo kuhusu hii cozi..
yaani ubora wake juu ya business information technology..
 
Back
Top Bottom