yaser
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 1,361
- 299
Habarini za usiku huu wana jamvi, mimi ni mwanaume nliyetimia kimaumbile ila kuna jambo moja huwa linaninyima raha kidogo. Kwa muda sasa nmekua nikiona ongezeko la kende zangu kitu ambacho kinanifanya nijisikie vibaya kwani najua ni kitu tofaut na maumbile ya kawaida. Mwanzo ilianza kuonekana kitu km kende hivi kikianza kumea kwenye zle korodani nyingine mbili baadae ikakua ikawa imefikia ukubwa wa kama zile zingine za kawaida. Mwisho kwa kipindi cha kama miezi sita iliyopita naona kuna kitu kingine kinaanza km kile cha mwanzo. Sasa wataalamu naomben munisaidie hii itakua ni kitu gani... Ila sipati maumivu wala kadhia yoyote juu ya ongezeko hili ila tu naomba ushauri wa wataalamu nipate kufaham zaidi.