naombeni ushauri juu ya kende zangu tafadhali.

yaser

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
1,361
Reaction score
299
Habarini za usiku huu wana jamvi, mimi ni mwanaume nliyetimia kimaumbile ila kuna jambo moja huwa linaninyima raha kidogo. Kwa muda sasa nmekua nikiona ongezeko la kende zangu kitu ambacho kinanifanya nijisikie vibaya kwani najua ni kitu tofaut na maumbile ya kawaida. Mwanzo ilianza kuonekana kitu km kende hivi kikianza kumea kwenye zle korodani nyingine mbili baadae ikakua ikawa imefikia ukubwa wa kama zile zingine za kawaida. Mwisho kwa kipindi cha kama miezi sita iliyopita naona kuna kitu kingine kinaanza km kile cha mwanzo. Sasa wataalamu naomben munisaidie hii itakua ni kitu gani... Ila sipati maumivu wala kadhia yoyote juu ya ongezeko hili ila tu naomba ushauri wa wataalamu nipate kufaham zaidi.
 
kaceki kama busha limeanza mkuu fasta upate dawa.. via mwele project..
 
Wewe ni mwenyeji wa Pangani?
 
Hivi hayo yote yanatokea kaka ina maana hujaenda hata kwa daktar wa karibu kumuuliza? kwanini tunapenda masihara na afya zetu?
 
Mkuu umenena vyema kabisa na sawa hatukatai kuuliza ushauri ila kwa kweli hata huo ushauri utahusisha kwenda kwa daktari aweze kuangaliwa pia.
 
Kwa muda sasa nmekua nikiona ongezeko la kende zangu kitu ambacho kinanifanya nijisikie vibaya kwani najua ni kitu tofaut na maumbile ya kawaida. Mwanzo ilianza kuonekana kitu km kende hivi kikianza kumea kwenye zle korodani nyingine mbili baadae ikakua ikawa imefikia ukubwa wa kama zile zingine za kawaida. Mwisho kwa kipindi cha kama miezi sita iliyopita naona kuna kitu kingine kinaanza km kile cha mwanzo.
  • Ndugu wahi hospitalini, ulipaswa kufanya hili mapema zaidi
 
Naona unajifanyia experiment, baada ya wiki tunaomba maelezo zimefikia ukubwa gani?
 
Back
Top Bottom