Surveyor_1
Member
- Jan 2, 2022
- 58
- 52
Habari wakuu,mimi nilimaliza form 4 takriban miaka 11 iliyopita, nilifaulu vizuri tu,nikiwa na A zote PCB na PCM, nilichaguliwa kwenda advance shule nzuri tu lakini sikufanikiwa kuendelea na masomo kwa sababu kadhaa nikajishughulisha na biashara.
Kwa sasa naona kiasi nina utulivu nataka niendelee na masomo na nafikiria kusoma diploma ya computer science, japokuwa napata mawazo mara mbili mbili juu ya course sahiho ya kusoma inayoendana na wakati na mazingira ya nchi yetu,pia vilevile ni chuo gani bora cha kusoma.
Naombeni muongozo wakuu.