Naombeni ushauri juu ya kozi ya kusoma

Surveyor_1

Member
Joined
Jan 2, 2022
Posts
58
Reaction score
52
Habari wakuu,mimi nilimaliza form 4 takriban miaka 11 iliyopita, nilifaulu vizuri tu,nikiwa na A zote PCB na PCM, nilichaguliwa kwenda advance shule nzuri tu lakini sikufanikiwa kuendelea na masomo kwa sababu kadhaa nikajishughulisha na biashara.

Kwa sasa naona kiasi nina utulivu nataka niendelee na masomo na nafikiria kusoma diploma ya computer science, japokuwa napata mawazo mara mbili mbili juu ya course sahiho ya kusoma inayoendana na wakati na mazingira ya nchi yetu,pia vilevile ni chuo gani bora cha kusoma.

Naombeni muongozo wakuu.
 
Aiseeee nakushauri kapige kozi za afya..

1.radiology,ipo bugando ukitusua vizur diploma unga muhas ukapige degree..

2.optometry,ipo pale kcmc ukitusua vizuri piga na degree yake hapo hapo

3.dental ipo bombo tanga,rufaa mbeya ukitusua vizuri unga na degree yake..
 
Shukran sana kiongozi
 

Dental unampoteza,kapige lab au pharm
 
Soma course za afya big
 
11 years passed, kwa hii nchi hata ulichosoma vitabu vilishaondolewa kwenye system.
 
Nenda afya, au radiology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…