2025DG
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 520
- 1,498
- Thread starter
- #21
Hizo course siruhusiwi according to TCU guide book 2024/25 Mimi ninaweza kusoma bachelor za afya kwa diploma ni kama ifuatavyo.Mkuu Mimi nilidhani kwakuwa upo field ya afya labda utakua na uanda mpana wa kuchagua kozi yoyote ya kitabibu kwa ngazi ya degree kwakuwa tayari una sifa ya diploma
Huwezi kusomea labda
Bachelor of Medical Laboratory Sciences General.
Bachelor of Pharmacy.
Bachelor of Science in Medical Imaging and Radiotherapy nk nk?
Hizo kozi ni rahisi sana kwa muajiri wako kukupa ruhusa na ukimaliza ni rahisi kubadilishiwa muuondo wako wa ajira
Kama Diploma yako inaku limit kusomea hizo kozi ulizo zitaja basi fikiria pia kufanya kozi fupi kama (NTA L4-6) ili kukupa qualification za kuapply kozi zingine za kitabibu kama nilizo zitaja hapo juu
(Sio kazi rahisi inabidi ukomae)
Shida ni pale utakapo soma mfano IT au uhasibu labda Open University halafu ukataka ubadilishiwe kitengo.... hapo unahitaji bidii na ku force kweli kweli kubadilishiwa muundo wako wa ajira vinginevyo unaweza kuishi kua na vyeti lakini ukabaki na unesi wako au labda uache kazi ukaombe kwingine kwa taaluma yako mpya
1.Anaesthesia.
2.Nutritional.
3.Social work.
4.physiotherapy.
5.Audiology and speech pathology.
6.Occupational therapy.
7.Katibu wa afya.
So course nyingi kwa nurse nazo ruhusiwa kusoma ni hizo zilizobaki ni za siasa.
So kwa ushauri wako itanibidi nirudi upya kusoma Diploma aisee kitu ambacho kwa Sasa sikihitaji