Naombeni ushauri juu ya matatizo haya ya ndoa

Angekuwa ni mwanamke anapigwa ungeona sawa na ungechochea azidi kupigwa. Huyo mwenzenu adundwe hadi akili imkae sawa
Kuwa na huruma kidogo basii๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Kiongozi iko hivi kama mmejaribu kukaa na kusuluhisha kuhusu ndoa ya kaka na mke anahatibu vikao maana yake kuu ni kwamba haitaji kubadilika na kuwasikiliza.

Bhas mnapaswa kufwa hatua zingine za kisheria kwa kuenda katika mabaraza ya usuluhishi kama ni waislamu unaanzia bakwata kama wakristo bila shaka kanisani. IKISHINDIKANA PIA HAPA watapewa barua ya kushindikana kwa utatuzi wa jambo lao na hapo sasa anaweza kuchukua hatua nyingine ya kwenda USTAWI WA JAMII ili kuomba usuluhishi wa jambo hilo kwa kueleza vizuri juu ya mwanamke kumpiga mume na kumtishia hivi na vile itakapo shindikana bhasii swala lao litafikishwa sasa Mahakamani moja kwa moja hapo mahakama itachukua hatua stahiki kwa kuangalia ushahidi madhubuti baina ya pande zote mbili.
Kama mahakama itajiridhisha kuwa mwanamke anamatatzo bhasi itafanya mchakato wa talaka.

Na hapo hamna jinsi mgao utakuwepo.
CHA MUHIMU NI KWAMBA KAKA AJITAHIDI KUTOA USHAHID MZURI KUWA MKE ALIKUWA NA DHAMIRA YA KUTAKA TUACHANE ILI AJIPATIE MALI KWA KUWA SASA MALI ZIPO.
Akizingatia hayo bhasi mahakaman itaangalia hilo kwa kina na katika kufanya mgao.


USHAURI.
Wanaume tusikae kimya kwa kuvumilia matendo ya kikatili tunayofanyiwa na wenza wetu kwa kukweza kuwa mwanaume hapaswi kulalamika. HAPANA.
Kuna taratibu za kufuta na Dawati la Ustawi wa Jamii lipo kwa jinsi zote Me &Ke na sio wanawake tu.

TUCHUKUE HATUA TUVUNJE UKIMYA[emoji120]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Ninakushukuru sana kwa ushauri mzuri,nitaufanyia kazi
 
Huna cha kumsadia huyo kaka yako

Km hadi mwanamke anampiga naweza nika imagine ni zezeta wa kiasi gani

Ukishakuwa zezeta lazima mwanamke akuendeshe hapo ni kaka yako mwenyewe siku amzibue bongee la bao la kwenye sikio mpk mwanamke apepesuke aende chini mzima mzima na ndo siku mkewe atajua nyumba ina utawala wa sheria otherwise acha aendelee kushikwa matako.
 
kunywa soda nakuja kulipa,ushauri konki
 
Good,mwanamke Kama huyo dawa unammaliza kabisa,huyo Ni shetani,haki yake Ni kifo tu
 
Reactions: rr4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ