Shukrani kwa ushauriNjia rahisi ni kwenda kama unataka kusoma, hivyo itakubidi ukaongeze elimu ukishahitimu ndio utakuwa na uwezo wa kubakia nchi husika na kufanya kazi, tofauti na hapo kupata work permit sio rahisi kama unavyofikiria mkuu
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nimeipnda huu ushauri nashukuruNchi za watu kuendesha forklift haihesabiki kuwa ni fani.
Kule kila mtu anaweza kuendesha forklift yaani ukienda kiwandani engineer anaweza kuendesha forklift,Technician anaweza kuendesha forklift,machine operators wanaweza kuendesha forklift.
Na kwa kuongezea tu siku hizi kule nchi za mbali kuna forklift za kujiendesha zenyewe bila dereva.
Kwa hiyo hukutakiwa kujifunza forklift peke yake ilitakiwa ujifunze hydraulic machines zote kidogo ungekuwa na soko.
Asante nitafanya hvyoHebu fuatilia web ya serikali ya Canada au ya ubalozi wa hapa wa Canada nilisikia wamekuja na mkakati wa kuiinua Canada kiuchumi kupitia rasilimali watu hivyo watakuwa wanapokea watu wanaohitaji kuhamia na kufanya kazi Canada. Mwaka huu wataanza na idadi ya watu kama 200,000 sijui mwaka 2021 watu laki nne na hadi pale watapositisha
Canada ingia kwenye web yao www.canada.ca
wanachukua watu wanaotaka kwenda kufanya kazi kwa nchi yao kama una taka uraia wa kudumu ni wewe tu
mimi nishaomba tayari niko tayari kwenda kua mkimbizi kuliko kuwa kwenye taifa huru pasipo uhuru.
Canada ingia kwenye web yao www.canada.ca
wanachukua watu wanaotaka kwenda kufanya kazi kwa nchi yao kama una taka uraia wa kudumu ni wewe tu
mimi nishaomba tayari niko tayari kwenda kua mkimbizi kuliko kuwa kwenye taifa huru pasipo uhuru.
Nakudm fanya ucheki mkuuCanada ingia kwenye web yao www.canada.ca
wanachukua watu wanaotaka kwenda kufanya kazi kwa nchi yao kama una taka uraia wa kudumu ni wewe tu
mimi nishaomba tayari niko tayari kwenda kua mkimbizi kuliko kuwa kwenye taifa huru pasipo uhuru.
Mkuu mwaga madini basi. Unaomba kama nani?Canada ingia kwenye web yao www.canada.ca
wanachukua watu wanaotaka kwenda kufanya kazi kwa nchi yao kama una taka uraia wa kudumu ni wewe tu.
Mimi nishaomba tayari niko tayari kwenda kua mkimbizi kuliko kuwa kwenye taifa huru pasipo uhuru.
Ingia kwenye hiyo web mkuu.Mkuu mwaga madini basi. Unaomba kama nani?
Ingia kwenye iyo web mkuuMkuu mwaga madini basi. Unaomba kama nani?
Nishauri but usinijibie that Sina pesa ,,sijui kizungu unskilled labour are u real sure that I am unskilled labour ? I got money for visa Ila changamoto ni taratibu za kuipata Hadi niwe na mtu anifanyie process ya invitation letter that's all ...I can operate forklift , I can make land survey using differents intruments bro which skills do they want Hadi tukahofia kwenda ng'ambo ?Nchi ulizo zitaja ni ngumu sana kupata visa sio tu visa ya kufanya kazi Bali hata tourist or visiting visa
Kwa sasa kwenda kutafuta maisha ulaya ni ngumu sana labda uende kama mkimbuz(asylums)
Utaratibu wa kwenda Canada kutafuta kazi ni ngumu sana ukizingatia huna pesa,hujui kizungu na huna the needed skills,Canada hata dactari au engeneer aliyegraduate Africa apart from S.Africa ni ngumu sana kupata visa ya aina yeyote
Ushauri wangu kwa ww ni unskilled worker so sehemu ya ww kujarib maisha yako ni gulf countries na Turkey like,Dubai,Oman,Kuwait,Qatar etc
Anda mtaji wa kutosha kwa safar yako at least 3ml
Tafuta passport
Check afya yako HIV status ,TB& hepatitis C
Police clearance
Attestation of your certicates to ministry of education
Have a good luck
Huo ushauri aliokupa jamaa ndo ushauri wa kuufuata. Achana na mambo za kusema una nauli, na ela yako ya Visa italiwa na hautopata ..kama upo makini anzia hizo nchi za kiarabu then jichange za kutosha ndipo uombe kwenda huko Canada na Sweden.Nishauri but usinijibie that Sina pesa ,,sijui kizungu unskilled labour are u real sure that I am unskilled labour ? I got money for visa Ila changamoto ni taratibu za kuipata Hadi niwe na mtu anifanyie process ya invitation letter that's all ...I can operate forklift , I can make land survey using differents intruments bro which skills do they want Hadi tukahofia kwenda ng'ambo ?
Pia lazima utambue ya kuwa hiyo visa unayosema haiwezi kukusaidia wewe kupata kazi, utakuwa umeenda tu kutembea ili kufanya kazi unahitaji uwe na residence permit au work permit vitu ambavyo kuvipata ni process ndio maana mwanzoni nilikwambia omba kusoma kwanzaNishauri but usinijibie that Sina pesa ,,sijui kizungu unskilled labour are u real sure that I am unskilled labour ? I got money for visa Ila changamoto ni taratibu za kuipata Hadi niwe na mtu anifanyie process ya invitation letter that's all ...I can operate forklift , I can make land survey using differents intruments bro which skills do they want Hadi tukahofia kwenda ng'ambo ?