Naombeni ushauri juu ya uwekezaji nimeufanya (Saloon)

mchuzi juu

Member
Joined
May 14, 2026
Posts
57
Reaction score
90
Mimi ni kijana na last time April nilinunua ofisi ya kinyozi (saloon) kwa gharama zisizopungua 700K pale Mbeya mjini. Kwa mujibu wa aliyekuwa mmiliki wa hiyo ofisi hapo awali, ni kwamba alikuwa anaingiza pesa nzuri kwa siku kutokana na location nzuri n.k.

Sasa baada ya ofisi kuwa chini yangu, yule aliyekuwa mmiliki wa ofisi alinitafutia kijana wa kufanya kazi, yaani kinyozi, na akanihakikishia kuwa atakuwa ofisini muda wote. Ndipo huyo kijana akaanza kazi. Mimi bila kujua kuwa yule kijana ni mwanachuo, hivyo most of the time anatumia muda wake kwenye masomo na si ofisini kwangu.

Sasa hivi ni miezi mitatu imepita tangu ofisi iwe chini ya umiliki wangu. Ninachoomba ushauri ni kwamba kodi ya miezi ijayo nilitegemea itoke kwenye ofisi, lakini mambo yameenda ndivyo sivyo. Hapa nina options mbili: ama nitafute kijana mwingine (japo si rahisi), au niuze ofisi kabla haijafika muda wa mwenye nyumba tarehe nane kuanza kusumbua kuhusu kodi.

Naombeni ushauri wakuu.
 
Tafuta mtu seriours, adedicate muda wake kwa mtakavyokubaliana lasivyo ofisi itakufilisi
 
ndugu mdau,
hiyo saluni ni ya kike au ya kiume?

Na je,
wewe una wajibu mwingine?

ikiwa huna,
kwanini usijifunze kushika mashine na kunyoa ikiwa ni saluni ya kiume, na jinsi ya kutumia vifaa vya saluni ya kike, ili hatimae uwe na uzoefu wa kazi hiyo na uhakika wa utakachokua unaingiza daily, ili hatimae utakae muajiri asiwe anakupiga pesa?🐒
 
Mm ni wa kiume na saluni ni ya kiume.. suala la mm kujifunza kutumia vifaa vya saluni ni vigumu kwasababu most if the time na-spend kwenye majukumu mengine... alafu hiyo saloon niliwek kama sehemu ya economic diversification
 
Ukishaambiwa na muuzaji hii ofisini inaingiza sanaaa pesa na yeye anaiuza.... STUKAA

80% tunauza ofisini kwasababu zinatupa hasara yaani hakuna mapato....so fanya research yako kabla ujanunua ujue unapambanaje na hzo changamoto
 
Means makosa yaalianza toka mwanzo
 
Mm ni wa kiume na saluni ni ya kiume.. suala la mm kujifunza kutumia vifaa vya saluni ni vigumu kwasababu most if the time na-spend kwenye majukumu mengine... alafu hiyo saloon niliwek kama sehemu ya economic diversification
I think,
bado unayofursa nzuri sana ya kubaki na kitega uchumi hicho chenye uhakika wa kipato kizuri tu hasa siku za wikiendi.

vijana wa kazi hizo wako wengi mitaani, na training ya hiyo kitu ni practice ya muda mfupi mno. Nashauri utangaze kazi kupitia magroup machache tu ya Whatsapp kwenye eneo ulilopo, naamini vijana watachangamkia nafasi hiyo ya ajira ya uhakika, na I'm sure, itakulipa kuliko unavyotarajia,

huyo wa chuo,
awe msimamizi tu wa kuhakikisha ofisi inafunguliwa na kufungwa daily kwa wakati na kuhakikisha mashine zote zinafanya kazi vizuri na usafi wa vifaa vya kazi na usalama wa wateja unapewa kipaumbele 🐒
 
ndugu mdau,
hiyo saluni ni ya kike au ya kiume?

Na je,
wewe una wajibu mwingine?

ikiwa huna,
kwanini usijifunze kushika mashine na kunyoa ikiwa ni saluni ya kiume, na jinsi ya kutumia vifaa vya saluni ya kike, ili hatimae uwe na uzoefu wa kazi hiyo na uhakika wa utakachokua unaingiza daily, ili hatimae utakae muajiri asiwe anakupiga pesa?🐒
Ok thanks nitalifanyia kaz mkuu
 
Back
Top Bottom