mchuzi juu
Member
- May 14, 2026
- 57
- 90
ndugu mdau,Mimi ni kijana na last time April nilinunua ofisi ya kinyozi (saloon) kwa gharama zisizopungua 700K pale Mbeya mjini. Kwa mujibu wa aliyekuwa mmiliki wa hiyo ofisi hapo awali, ni kwamba alikuwa anaingiza pesa nzuri kwa siku kutokana na location nzuri n.k.
Sasa baada ya ofisi kuwa chini yangu, yule aliyekuwa mmiliki wa ofisi alinitafutia kijana wa kufanya kazi, yaani kinyozi, na akanihakikishia kuwa atakuwa ofisini muda wote. Ndipo huyo kijana akaanza kazi. Mimi bila kujua kuwa yule kijana ni mwanachuo, hivyo most of the time anatumia muda wake kwenye masomo na si ofisini kwangu.
Sasa hivi ni miezi mitatu imepita tangu ofisi iwe chini ya umiliki wangu. Ninachoomba ushauri ni kwamba kodi ya miezi ijayo nilitegemea itoke kwenye ofisi, lakini mambo yameenda ndivyo sivyo. Hapa nina options mbili: ama nitafute kijana mwingine (japo si rahisi), au niuze ofisi kabla haijafika muda wa mwenye nyumba tarehe nane kuanza kusumbua kuhusu kodi.
Naombeni ushauri wakuu.
But one is better mrDo any, both are rights
Mm ni wa kiume na saluni ni ya kiume.. suala la mm kujifunza kutumia vifaa vya saluni ni vigumu kwasababu most if the time na-spend kwenye majukumu mengine... alafu hiyo saloon niliwek kama sehemu ya economic diversificationndugu mdau,
hiyo saluni ni ya kike au ya kiume?
Na je,
wewe una wajibu mwingine?
ikiwa huna,
kwanini usijifunze kushika mashine na kunyoa ikiwa ni saluni ya kiume, na jinsi ya kutumia vifaa vya saluni ya kike, ili hatimae uwe na uzoefu wa kazi hiyo na uhakika wa utakachokua unaingiza daily, ili hatimae utakae muajiri asiwe anakupiga pesa?π
Namna ya kumpata kwangu inakua vigumu kwasababu mm cio mwenyeji wa huku ...... alafu last week nilipata mtu lakini niliona ataniletea shda hapo baadae maana ni kama Insane hivi alafu anaumwa kidafa(ingawa sijathibitisha)mchuzi juu tafuta mtu apige kazi usiuze ofisi ,
Ok nalichukua kama lilivyo mkuu... thanks πTafuta mtu seriours, adedicate muda wake kwa mtakavyokubaliana lasivyo ofisi itakufilisi
Mmmmh hii tena π«‘π«‘π€Biashara inataka watu imara sio wenye kukata tamaa kwa changamoto ndogo kama hizi
Means makosa yaalianza toka mwanzoUkishaambiwa na muuzaji hii ofisini inaingiza sanaaa pesa na yeye anaiuza.... STUKAA
80% tunauza ofisini kwasababu zinatupa hasara yaani hakuna mapato....so fanya research yako kabla ujanunua ujue unapambanaje na hzo changamoto
I think,Mm ni wa kiume na saluni ni ya kiume.. suala la mm kujifunza kutumia vifaa vya saluni ni vigumu kwasababu most if the time na-spend kwenye majukumu mengine... alafu hiyo saloon niliwek kama sehemu ya economic diversification
Sahihi kabisaUkishaambiwa na muuzaji hii ofisini inaingiza sanaaa pesa na yeye anaiuza.... STUKAA
80% tunauza ofisini kwasababu zinatupa hasara yaani hakuna mapato....so fanya research yako kabla ujanunua ujue unapambanaje na hzo changamoto
Exactly π―......Means makosa yaalianza toka mwanzo
Ok thanks nitalifanyia kaz mkuundugu mdau,
hiyo saluni ni ya kike au ya kiume?
Na je,
wewe una wajibu mwingine?
ikiwa huna,
kwanini usijifunze kushika mashine na kunyoa ikiwa ni saluni ya kiume, na jinsi ya kutumia vifaa vya saluni ya kike, ili hatimae uwe na uzoefu wa kazi hiyo na uhakika wa utakachokua unaingiza daily, ili hatimae utakae muajiri asiwe anakupiga pesa?π
Lakini ndo hivyo maji yakimwagika hayazolekiii.. ni funzo for next timeExactly π―......
Uko wapi weweNaomba hiyo ajira mkuu