Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Kama huna ABC yoyote juu ya hyo biashara na wewe mtafute mnyonge mwenzako mpigenayo.......ata kwa laki 5 tuLakini ndo hivyo maji yakimwagika hayazolekiii.. ni funzo for next time
kila la kheri 👊Ok thanks nitalifanyia kaz mkuu
😅😅😅😅 wazo nzurKama huna ABC yoyote juu ya hyo biashara na wewe mtafute mnyonge mwenzako mpigenayo.......ata kwa laki 5 tu
Ok .. thanks I take it as it isMasta... naona ulikurupuka kununua ofc bila kupata taarifa sahihi .... kama wateja n.k ! Japo umesema location nzuri!
Huu si muda wa kulaumiana , ulikoroga !
Kilichopo tafuta kijana mzoefu, mpe target kwamba pambana uwezavyo kwa wiki nataka kiasi hiki.... ajilipe mwenyewe alipe na umeme! Atapambana sana , hutohitaji kumfuatilia !!!!
Kwa siku ni vizur ndiyo mkuu kuliko kwa wiki maana hela huwa haikaiWeka ofisi vizuri iwe na muonekano wa kuvutia, tafuta kijana pamoja na majukumu yako jitahidi pata muda wa kuangalia nini kinafanyika.....baada ya mwezi utakua ushaona uelekeo.
Unampangia hesabu kama ni kwa siku akupe chako au kwa wiki. Japo kwa siku imekaa poa make hela mtu akikaa nayo ina vishawishi
Ila punguza uoga 😁 kaa vijiweni na vijanaKwa siku ni vizur ndiyo mkuu kuliko kwa wiki maana hela huwa haikai
Huo muda wa kukaa vijiweni na vijana sasa.. alafu mbeya mmmmh🤔🤔💔💔Ila punguza uoga 😁 kaa vijiweni na vijana
Hapo ukikaa nao utapata huyo kijana unaemtafuta utapata na wateja.....mbona kama una mindset flani ya kujidai mkuu kwani mbeya kuna nini, we wa daslamu au sio 😂😂😂Huo muda wa kukaa vijiweni na vijana sasa.. alafu mbeya mmmmh🤔🤔💔💔
Mbeya mkuu hapaaminiki juz kuna raia kavamiwa akavunjwavunjwa 😌😌💔💔Hapo ukikaa nao utapata huyo kijana unaemtafuta utapata na wateja.....mbona kama una mindset flani ya kujidai mkuu kwani mbeya kuna nini, we wa daslamu au sio 😂😂😂
Eeeh poleni sanaMbeya mkuu hapaaminiki juz kuna raia kavamiwa akavunjwavunjwa 😌😌💔💔
Lkn kuna namna nyingi za Kupata experience mkuuPole mkuu.
Binafsi siwezi ingiza pesa kuna namn nyingi za l
Kanuni namba 1: chochote utakachonunua kutoka kwa mtu hasa biashara inayoelekea kuanguka hakikisha unaanza upya!Mimi ni kijana na last time April nilinunua ofisi ya kinyozi (saloon) kwa gharama zisizopungua 700K pale Mbeya mjini. Kwa mujibu wa aliyekuwa mmiliki wa hiyo ofisi hapo awali, ni kwamba alikuwa anaingiza pesa nzuri kwa siku kutokana na location nzuri n.k.
Sasa baada ya ofisi kuwa chini yangu, yule aliyekuwa mmiliki wa ofisi alinitafutia kijana wa kufanya kazi, yaani kinyozi, na akanihakikishia kuwa atakuwa ofisini muda wote. Ndipo huyo kijana akaanza kazi. Mimi bila kujua kuwa yule kijana ni mwanachuo, hivyo most of the time anatumia muda wake kwenye masomo na si ofisini kwangu.
Sasa hivi ni miezi mitatu imepita tangu ofisi iwe chini ya umiliki wangu. Ninachoomba ushauri ni kwamba kodi ya miezi ijayo nilitegemea itoke kwenye ofisi, lakini mambo yameenda ndivyo sivyo. Hapa nina options mbili: ama nitafute kijana mwingine (japo si rahisi), au niuze ofisi kabla haijafika muda wa mwenye nyumba tarehe nane kuanza kusumbua kuhusu kodi.
Naombeni ushauri wakuu.
Nimeona sehemu una dawa ya ulcers naomba nielekeze..!!Biashara inataka watu imara sio wenye kukata tamaa kwa changamoto ndogo kama hizi
Sio mimi, nimeweka na namba pale.Nimeona sehemu una dawa ya ulcers naomba nielekeze..!!