Kaka madenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2021
- 312
- 574
Hayo siwezi kusema lakini mtihani wa mock niliofanya hapo shule mwezi wa 8 ulikuwa hiviTupe matokeo yako ya mwisho tujue una-reseat pepa zipi.
Nipo Dodoma mkuu siku zingine huwa nakwenda maktaba na siku zingine darasani.Cheti utapata na Advance utasoma vizuri tu.
Kama huko dsm unaweza kuwa unaenda maktaba ya Taifa unajisomea ila kutoboa lazima.
Najitahidi mkuuPambana Mr
Nipo Dodoma mkuu siku zingine huwa nakwenda maktaba na siku zingine darasani.
Kwa matokeo yangu ya mock hapo juu unadhani necta nitaweza kweli?
Nipo Dodoma mkuu siku zingine huwa nakwenda maktaba na siku zingine darasani.
Kwa matokeo yangu ya mock hapo juu unadhani necta nitaweza kweli?
Wazo zuri sana mkuu.Mm naona utataboa vizuri kuzidi hadi hapo
Mwakan soma Advance ya mwaka 1 ili usome degree hapo udom
Wewe umeshafaulu tayari endealea tu kufanya maswali mengi uwezavyo ili ufaulu zaidi.Nipo Dodoma mkuu siku zingine huwa nakwenda maktaba na siku zingine darasani.
Kwa matokeo yangu ya mock hapo juu unadhani necta nitaweza kweli?
Nashukuru hakika sitawaangushaunafaulu kabsa ata usiwe na wasiwasi ndugh
Hakuna kitu kama hicho mitihani ni ya kawaida kinachowafelisha pc ni hawako serious na usomaji wao.Wazo zuri sana mkuu.
Lakini niliskia watu hii mitihani ya hivi vituo ni migumu tofauti na necta je ni kweli mkuu?
Nashukuru sana mkuu nitazidi kuyasolve sana naona pia muda upo mchache..Wewe umeshafaulu tayari endealea tu kufanya maswali mengi uwezavyo ili ufaulu zaidi.
Kiukweli wengine tunajitahidi sana lakini vitu vingine vinatukwamishaHakuna kitu kama hicho mitihani ni ya kawaida kinachowafelisha pc ni hawako serious na usomaji wao.
Nashukuru pia huu ni muongozo mzuriMara nyingi shule nyingi ikifika mwezi mmoja au miwili kabla ya necta huwa wanaacha kufundisha (nyingi huwa zinakua zimenaliza syllabus) ivyo huwaacha wanafunzi kureview past papers mbalimbali, kudiscuss na kupata mda mwingi wa kujisomea. Sijaelewa unataka ufundishwe mpaka lini? Kwann usijisomee au mkatengeneza kagroup mkawa mnafundishana na kudiscuss? Ungesoma shule za serikali boarding ndo ungejua kufundishwa/kutofundishwa sio inshu saaanaa
Wekeza kwny past papers,test yourself,discuss with others. Utaclear na kuziba mapungufu ulonayo academically, UKIFOCUS NECTA UNAFAULU MKUU.Nashukuru pia huu ni muongozo mzuri
Ni kweli topic zimekwisha kwa sasa
Wanafanya review na maswali mengi na hawafundishi sana..
Kila la kheri mkuu mapambano mema.Kiukweli wengine tunajitahidi sana lakini vitu vingine vinatukwamisha
Lakini hata hivyo tunajaribu kujitahidi sana kadri ya uwezo wetu..
Kwa kuangalia masomo yako (Arts), nashahuri uwe na tabia ya kujisomea somea sana.Hayo siwezi kusema lakini mtihani wa mock niliofanya hapo shule mwezi wa 8 ulikuwa hivi
History - B
Civics - B
KiSwahili - C
Literature -D
English -C
Geography -F
Halafu kwa nini Geography ulipata F? Yaani umelifanya somo rahisi kama hilo kuwa kama Hesabu vile!! Acha uzembe bhana.Hayo siwezi kusema lakini mtihani wa mock niliofanya hapo shule mwezi wa 8 ulikuwa hivi
History - B
Civics - B
KiSwahili - C
Literature -D
English -C
Geography -F