Naombeni ushauri kati ya kusoma HGL advance au computer science chuo

Naombeni ushauri kati ya kusoma HGL advance au computer science chuo

lawrence kelvin

New Member
Joined
Jul 1, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Nili balance combination ya CBG vizuri ila nimefeli mathematics kwahiyo nilivyo fanya application katika shule kwa lever ya advance baadhi ya shule walinikubalia baadhi ya shule kama makongo wamekataa kuwa siwezi kusoma CBG kama math nimefeli kwasababu form six sito ruhusiwa kufanya mtihani kupitia combination ya CBG sababu nilifeli math o ,lever so wakawa wamenipa combination za HGL na HGK so ni bora nichukue izi au nikasome computer science and engineering st. Joseph kwasababu nimesha fanya aplication naombeni ushauri niko njia panda advance or chuo
 
Kasome chuo computer science kama unajua hesabu utafanya vizuri
 
follow your dreams and passion ,ningekushauli uende chuo but it seems you not interested in technology
NOTE:usije ukaenda chuo alafu ukafeli
 
Sasa ndugu kama basic mathematics imekushinda hiyo basic applied mathematics au pure mathematics huko CBG au Computer science mtawezana...
Any way labda uliteleza tu km unajiamini go on with ur dream..

Ila sometym Mungu hakupi unacho kitaka anakupa unachostahili.. unaweza tamani hiyo cbg au CS lakn haikustahl hivyo ndio maana ukaikosa na ukilazimisha unaweza jilaumu baadae
 
Kama math ni tatizo kwako usijaribu kuingia computer science ni heri ukasome hge kuliko itakutesa sana. Anyway ni mawazo yangu tu fanya maamuzi yako.
 
Hata hgl sijui ka utaweza maana hata kuandika level pekee unashindwa
 
kasome CBG kk,kuna mchizi wangu amesoma hiyo kitu pale bismark high mwnz,o level alitoka na f ya namba afu kwny combination alikuwa na CCD(wakat ww umebalance)...akakaza a-level akapata dv2 ya point kum (CCD)..leo yupo kcmc anamalizia mwaka wa2 doctor of medicine....
 
Nili balance combination ya CBG vizuri ila nimefeli mathematics kwahiyo nilivyo fanya application katika shule kwa lever ya advance baadhi ya shule walinikubalia baadhi ya shule kama makongo wamekataa kuwa siwezi kusoma CBG kama math nimefeli kwasababu form six sito ruhusiwa kufanya mtihani kupitia combination ya CBG sababu nilifeli math o ,lever so wakawa wamenipa combination za HGL na HGK so ni bora nichukue izi au nikasome computer science and engineering st. Joseph kwasababu nimesha fanya aplication naombeni ushauri niko njia panda advance or chuo

Huu ni uongo... si kweli..
 
ulikuepo?

mkuu Landcruiser@lawrence kelvin .. nilipoandika hii statement
Huu ni uongo... si kweli..
sikumaanisha kwamba ulichosema ni uongo..la hasha.... nlichomaanisha ni kwamba walichosema si cha kweli, labda sijui kwa mfumo wa sasa ninachojua mtu ukiwa na c tatu unauwezo wa kusoma kombi yoyote(kwa shule za private)..
 
Last edited by a moderator:
Umejitaidi kutunga hadith mzuri na kuvutia kama umebalance komb hauwezi ukaachwa coz una F ya namba
 
mkuu Landcruiser@lawrence kelvin .. nilipoandika hii statement

sikumaanisha kwamba ulichosema ni uongo..la hasha.... nlichomaanisha ni kwamba walichosema si cha kweli, labda sijui kwa mfumo wa sasa ninachojua mtu ukiwa na c tatu unauwezo wa kusoma kombi yoyote(kwa shule za private)..

anhaa nimekuelewa.
 
Last edited by a moderator:
Sijui alimaliza lini, waliomaliza form iv mwaka 2013 wamepata taabu kuna watoto wana c 5, d 1 na f ya namba na comb zili-balance lakini hawakuchaguliwa form v kwa kuwa hiyo ilisomeka ni div four.
Ila pia usikate tamaa, vyuo viko vingi na kama ulivyoeleza St. Joseph ni chuo kizuri tu, utaanza Certificate hatimaye utafika juu, lakini pia kuna watu wa ndege, bahati mbaya sikumbuki taarifa vizuri ila walichukua wanafunzi walimaliza form iv kwa ajili kuwafundisha kuanzia certificate, na waendelee hadi diploma na hatimaye digree. au pia nenda NACTE/TCU utapata ushauri mzuri tu, wa nini cha kufanya/kusoma ili ufike unakotaka.
 
Back
Top Bottom