lawrence kelvin
New Member
- Jul 1, 2014
- 1
- 0
Nili balance combination ya CBG vizuri ila nimefeli mathematics kwahiyo nilivyo fanya application katika shule kwa lever ya advance baadhi ya shule walinikubalia baadhi ya shule kama makongo wamekataa kuwa siwezi kusoma CBG kama math nimefeli kwasababu form six sito ruhusiwa kufanya mtihani kupitia combination ya CBG sababu nilifeli math o ,lever so wakawa wamenipa combination za HGL na HGK so ni bora nichukue izi au nikasome computer science and engineering st. Joseph kwasababu nimesha fanya aplication naombeni ushauri niko njia panda advance or chuo