Sijui alimaliza lini, waliomaliza form iv mwaka 2013 wamepata taabu kuna watoto wana c 5, d 1 na f ya namba na comb zili-balance lakini hawakuchaguliwa form v kwa kuwa hiyo ilisomeka ni div four.
Ila pia usikate tamaa, vyuo viko vingi na kama ulivyoeleza St. Joseph ni chuo kizuri tu, utaanza Certificate hatimaye utafika juu, lakini pia kuna watu wa ndege, bahati mbaya sikumbuki taarifa vizuri ila walichukua wanafunzi walimaliza form iv kwa ajili kuwafundisha kuanzia certificate, na waendelee hadi diploma na hatimaye digree. au pia nenda NACTE/TCU utapata ushauri mzuri tu, wa nini cha kufanya/kusoma ili ufike unakotaka.