Naombeni ushauri katika hili wana jf

Naombeni ushauri katika hili wana jf

Rebson sanga

Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
31
Reaction score
0
Jaman nina rafik yangu alikuwa anafanya kazi ya kubeba magunia njombe sasa kafanikiwa kupata mtaji wa shiring laki nane na anaomba ushauri wa biashara ya kufanya ili kupumzika kazi anayoifanya kwasababu ni ngumu kwa mujibu wake kwa hyo nimeamua nililete kwnu great thnkers ushauri wako ndo mafanikio yake ahsanteni
 
afuge kuku,sijui inahitaji mtaji kiasi gani lakini....
 
Pitia zile stick thread zote na kule jukwaa la ujasiria mali...naiman utapata wazo...
 
Back
Top Bottom