Kwanza kabisa una takiwa uwe na wazo biashara {business idea} lolote Kama vile:
✓ufugaji kuku.
✓kilimo Cha mbogamboga na matunda.
✓kilimo cha nafaka mbalimbali kama vile mahindi,maharagwe,kunde na mbaazi.
✓uuzaji wa matunda.
✓uuzaji juisi ya poa ya harakaharaka
✓ufugaji nguruwe na mengine mengi.
-------------kama unamtaji usiozidi milioni 1,unaweza ukaanza na biashara ya nguruwe.kwa mfano kitoto kimoja cha nguruwe ni 50,000,ko unaweza nunua vitoto kama 6(6×50,000) kwa jumla ya shilingi 300,000,banda kujenga kwa shilingi 300,000.jumla(300,000+300,000)=600,000.ko baada ya vitoto kukua utafurahia ufugaji wako kwani nguruwe 1 bei yake hiwa si chini ya 500,000.Ko kama umewatunza vizuri uwa wanazaa watoto wasiopungua 6.Ko kama una nguruwe 6,kila moja ikizaa watoto 6 jumla(6×6)=36 ambayo ukiuza vitoto vyote(36×50,000)=1,800,000 na ikiuza wakubwa (500,000×36)=18,000,000 ko utajikuta unakuwa milionea kwa mda mfupi.
✓N.B----------Zingatia sana eneo,hasahasa eneo ambao hakuna waisilamu kwa wingi kutokana na imani ya mtu,hali ya hewa,chakula kwa wingi kutokana na mahoteli mbalimbali kuwepo au mashudu kutoka mashambani.