Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
SawaUtakamatwa tu ukanyee debe kwenye ngome ya MULIRO.
Siku nyingine uache kiherehere cha kupiga watu bila kujua chanzo halisi.
Naagiza ukamatwe mara moja.
Hamna sijashiriki ila nilikuepo nikimuangaliaSwala la namna hii unapaswa kuwa mkweli ili usaidike uandishi wako unaonyesha kabisa umeshiriki kupiga otherwise huna sababu ya kua na wasiwasi
Kwa nini hukuwaambia watu wasimpige badala yake ukaangalia kama ni sinema nzuri? Ni vizuri kabisa ukamatwe kwani wewe ni mmoja ya wauaji.Maoni yenu muhimu wakuu
Duuh hatariMtaani kwetu ilitokeaga ishu km hiyo, kuna waliokaa maabusu miaka mitatu 😂
Ni mtaa gani ulipo ? Nione nakusaidia vipi na pia unaishi nyumba namba ngapi?Huku mtaani Kuna mwizi alichezea kichapo usiku baada ya kutuhumiwa ni mwizi na kama mnavyojua hili neno ukiitiwa usiku wa saa 7 hata kama sio mwizi raia wanapiga Sasa inasemekana kapona hajafa na polisi wanataka kumpitisha awatambue waliompiga na Mimi nilikua nimeenda kumshuhudia akichezea kipondo nawaza asije pata wenge akanijumuisha na Mimi kwamba nilimtembezea mkong'oto nilikua nauliza hapa kama nikakamatwa na Mimi natokaje kwenye huu msala wakuu sababu hapa jamii forum ni kisima Cha maarifa
Mkuu saa 7 usiku watu wanamapanga si kujitafutia kifo maana raia wanakuwaga kama wamepandwa na ukichaaKwa nini hukuwaambia watu wasimpige badala yake ukaangalia kama ni sinema nzuri? Ni vizuri kabisa ukamatwe kwani wewe ni mmoja ya wauaji.
SawaNi
Ni mtaa gani ulipo ? Nione nakusaidia vipi na pia unaishi nyumba namba ngapi?
🧐Kwa nini hukuwaambia watu wasimpige badala yake ukaangalia kama ni sinema nzuri? Ni vizuri kabisa ukamatwe kwani wewe ni mmoja ya wauaji.
SawaMbona Umeanza Kujihisi Mapema
Kapona Hakuna Jipya
Na Wataweza Kamata Mtaa mzima!?
Endelea na Kazi
Wanakuwaga na wenge la kupigwa akiona mtu aliekuwepo anamtaja tuKama ukumpiga auna shida
SawaKi mboga Saba kinaogopa jela!
Sawa mwiziKwisha wewe