Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaHama kwa muda hapo unapoishi?
Sawa kakakesi nyepesi hio unashinda hata kama ulimtembezea kipigo
.
hapo hakuna ushahidi hata wakikamata we kataa katu katu utakaa/ kulala sero asubuh wanakuachia
Ndio ila kunaitajika shahidi piaWanakuwaga na wenge la kupigwa akiona mtu aliekuwepo anamtaja tu
Vipi naye alikuangalia?Hamna sijashiriki ila nilikuepo nikimuangalia
Kwa wewe wakufunge tu,maana unajaza Server za Jf kwa upuuzi wa kila muda.Huku mtaani kuna mwizi alichezea kichapo usiku baada ya kutuhumiwa ni mwizi na kama mnavyojua hili neno ukiitiwa usiku wa saa 7 hata kama sio mwizi raia wanapiga.
Sasa inasemekana kapona hajafa na polisi wanataka kumpitisha awatambue waliompiga na Mimi nilikua nimeenda kumshuhudia akichezea kipondo nawaza asijepata wenge akanijumuisha na Mimi kwamba nilimtembezea mkong'oto.
Nauliza hapa kama nikakamatwa na mimi natokaje kwenye huu msala wakuu sababu hapa JF ni kisima cha maarifa.
Sijashiriki mkuuUnaonekana ulishiriki kumpiga mshukiwa wa wizi tegemea kushitakiwa kwa makosa yafuatayo:-
1. Kupiga na kudhuru
2. Kujichukulia Sheria mkononi
Halafu mliyempiga atakudai fidia😬
Ndio aliniangalia ndio maana nawasiwasiVipi naye alikuangalia?
Sawa kakaKwa wewe wakufunge tu,maana unajaza Server za Jf kwa upuuzi wa kila muda.
Mkuu kawaida unavyosikia kelele usiku mtu anaitiwa mwizi lazima utoke Ili uone nini kimejiriAlishakutaja, ni kiasi cha polisi kuja kukusomba tu. Ni kwa nini ulienda kushuhudia mtu anapata kipigo?
SawaAlishakutaja, ni kiasi cha polisi kuja kukusomba tu. Ni kwa nini ulienda kushuhudia mtu anapata kipigo?
Haina shida mkuu mtatambuana tu.Ndio aliniangalia ndio maana nawasiwasi
Sawa mkuuHaya masuala ya kusikia mwizi unajitokeza na kuanza kupiga pasipo kujua chanzo ni aina nyingine ya ukichaa, ilishatokea jamaa na mpenzi wake walipigombana yule jamaa akataka kuchukua vyake ikiwemo simu aliyomnunulia, yule mwanamke akaanza kuita mwizi, jamaa aliuawa kimasikhara....
Hata unapoona ajali imetokea kama unajua ukifika eneo la tukio hakuna msaada utatoa basi ni bora usifike kushangaa....
Sawa mkuuHaina shida mkuu mtatambuana tu.
kesi nyepesi hio unashinda hata kama ulimtembezea kipigo
.
hapo hakuna ushahidi hata wakikamata we kataa katu katu utakaa/ kulala sero asubuh wanakuachia
Nikutonye tu, kesi zinazoonekana nyepesi Kuna muda hugeuka kuwa ngumu na ukaishia kusota jela.Sijashiriki mkuu