Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
-
- #101
Hapo ukikamatwa ukajumlisha miaka ya kusota mahabusu ili huyo mwizi akae sawa kisaikolojia aje atoe ushahidi kamili mahakamani na ile miaka ya kuwekwa gerezani siyo chini ya miaka 20 ukijumlisha usiku na mchana.. ukija kutoka ni 2035 kama kutakua na msamaha wa raisi. Tofauti na hapo tafuta namna nyingine ya kugeuka kivuli kwanza.Huku mtaani kuna mwizi alichezea kichapo usiku baada ya kutuhumiwa ni mwizi na kama mnavyojua hili neno ukiitiwa usiku wa saa 7 hata kama sio mwizi raia wanapiga.
Sasa inasemekana kapona hajafa na polisi wanataka kumpitisha awatambue waliompiga na Mimi nilikua nimeenda kumshuhudia akichezea kipondo nawaza asijepata wenge akanijumuisha na Mimi kwamba nilimtembezea mkong'oto.
Nauliza hapa kama nikakamatwa na mimi natokaje kwenye huu msala wakuu sababu hapa JF ni kisima cha maarifa.
Maoni yenu muhimu wakuu
Kwahiyo nikatae mkuuHapo ukikamatwa ukajumlisha miaka ya kusota mahabusu ili huyo mwizi akae sawa kisaikolojia aje atoe ushahidi kamili mahakamani na ile miaka ya kuwekwa gerezani siyo chini ya miaka 20 ukijumlisha usiku na mchana.. ukija kutoka ni 2035 kama kutakua na msamaha wa raisi. Tofauti na hapo tafuta namna nyingine ya kugeuka kivuli kwanza.
Nb. Nina experience na swala kama lako mkuu pole sana
Kama unaweza jifiche kukataa haisaidii kituKwahiyo nikatae mkuu
Huyo hakupigwa alipapaswaHuku mtaani kuna mwizi alichezea kichapo usiku baada ya kutuhumiwa ni mwizi na kama mnavyojua hili neno ukiitiwa usiku wa saa 7 hata kama sio mwizi raia wanapiga.
Sasa inasemekana kapona hajafa na polisi wanataka kumpitisha awatambue waliompiga na Mimi nilikua nimeenda kumshuhudia akichezea kipondo nawaza asijepata wenge akanijumuisha na Mimi kwamba nilimtembezea mkong'oto.
Nauliza hapa kama nikakamatwa na mimi natokaje kwenye huu msala wakuu sababu hapa JF ni kisima cha maarifa.
Maoni yenu muhimu wakuu
Hahahahaahahhahaahahaha....Ni
Ni mtaa gani ulipo ? Nione nakusaidia vipi na pia unaishi nyumba namba ngapi?
Wewe ulimpiga , mtu saa saba za usiku kama hakujui na hajawahi kukuona before si vyepesi kukutambua,Mkuu saa 7 usiku watu wanamapanga si kujitafutia kifo maana raia wanakuwaga kama wamepandwa na ukichaa
Huyo ni mwizi lakini anaweza kuua mtu asie na hatiaWewe ulimpiga , mtu saa saba za usiku kama hakujui na hajawahi kukuona before si vyepesi kukutambua,
Inaonekana mhusika unamjua vyema na anakujua vyema na kipigo ulimshushia vyema kwa hila zako na chuki binafsi na hali ukijua wazi kuwa hukustahili kumtenda hivyo.
Subiri ukanyee ndoo kwanza , ili medura zisogereane
Alipigwa mkuuHuyo hakupigwa alipapaswa
Sawa mkuuSheria ya mwizi kuwatambua waliompa kisago haipo! Wakimleta wanyang'anyeni mmumalizie kabisa! Kwenye gwaride la utambuzi msiende mmoja mmoja, nendeni mtaa mzima polisi wakifika tu mnawaweka mtu kati mnachukua mtuhumiwa wenu!
Kuuwa Mwizi Na kuhalalisha Ushoga Vp Ni jambo Chafu? CHANZO 😛apa Francis Na Kanisa Katoliki.Tabia ya kupiga mwizi ni tabia ya kishetani.
Labda mungu Allah (ant Christ) ndiye anaweza kuruhusu hiyo tabia. Ila according to Jehovah form the time of pre old testament, old testament, and New testament hakuna mahali ameruhusu tabia chafu ya kupiga mwizi
Waislamu wanaongoza Kwa ushoga na kujilipua katikato ya watu wasio na hatiaKuuwa Mwizi Na kuhalalisha Ushoga Vp Ni jambo Chafu? CHANZO 😛apa Francis Na Kanisa Katoliki.
Aisee nimecheka sana. Kichapo utoe alafu uje kututesa sisiHuku mtaani kuna mwizi alichezea kichapo usiku baada ya kutuhumiwa ni mwizi na kama mnavyojua hili neno ukiitiwa usiku wa saa 7 hata kama sio mwizi raia wanapiga.
Sasa inasemekana kapona hajafa na polisi wanataka kumpitisha awatambue waliompiga na Mimi nilikua nimeenda kumshuhudia akichezea kipondo nawaza asijepata wenge akanijumuisha na Mimi kwamba nilimtembezea mkong'oto.
Nauliza hapa kama nikakamatwa na mimi natokaje kwenye huu msala wakuu sababu hapa JF ni kisima cha maarifa.
Maoni yenu muhimu wakuu
DuuhAisee nimecheka sana. Kichapo utoe alafu uje kututesa sisi
kwa hiyo mzima ulikuwa peke yako?Mkuu saa 7 usiku watu wanamapanga si kujitafutia kifo maana raia wanakuwaga kama wamepandwa na ukichaa
Kimbia eneo hilo kwa muda.Huku mtaani kuna mwizi alichezea kichapo usiku baada ya kutuhumiwa ni mwizi na kama mnavyojua hili neno ukiitiwa usiku wa saa 7 hata kama sio mwizi raia wanapiga.
Sasa inasemekana kapona hajafa na polisi wanataka kumpitisha awatambue waliompiga na Mimi nilikua nimeenda kumshuhudia akichezea kipondo nawaza asijepata wenge akanijumuisha na Mimi kwamba nilimtembezea mkong'oto.
Nauliza hapa kama nikakamatwa na mimi natokaje kwenye huu msala wakuu sababu hapa JF ni kisima cha maarifa.
Maoni yenu muhimu wakuu
Hamna wengikwa hiyo mzima ulikuwa peke yako?