Mzaleee
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,069
- 3,899
Hii ni kweli kabisa,mwaka ulioisha Kuna fala amefugwa lakn mwanzo alidai yeye ni mwamba kesi ya utapeli hajawahi kufugwa ,sasa baada ya mm kutoa ushaidi jamaa alitoka mahakamani analia maana nilimkaanga kisawa sawa na maswali yake yalikuwa kama 100 lakn mm niliyasolve kiwepesi Sana.Atakaa wiki
Nikutonye tu, kesi zinazoonekana nyepesi Kuna muda hugeuka kuwa ngumu na ukaishia kusota jela.
We endelea kuchati jamiiforums ubebwe halafu ukijifanya jeuri PP atakupeleka mahakamani.
Huko ukienda kukiri tu Eti ulikuwepo wakati raia wakimpiga ila wewe hukumpiga unakula mvua kwa makosa Yale Yale ya waliompiga.
Jiongeze fallah wewe [emoji51][emoji51][emoji51]