Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
-
- #121
Sawa mkuuKimbia eneo hilo kwa muda.
Nenda kwa mgangaHuku mtaani kuna mwizi alichezea kichapo usiku baada ya kutuhumiwa ni mwizi na kama mnavyojua hili neno ukiitiwa usiku wa saa 7 hata kama sio mwizi raia wanapiga.
Sasa inasemekana kapona hajafa na polisi wanataka kumpitisha awatambue waliompiga na Mimi nilikua nimeenda kumshuhudia akichezea kipondo nawaza asijepata wenge akanijumuisha na Mimi kwamba nilimtembezea mkong'oto.
Nauliza hapa kama nikakamatwa na mimi natokaje kwenye huu msala wakuu sababu hapa JF ni kisima cha maarifa.
Maoni yenu muhimu wakuu
Kumbe Ni waislamu Ila Sio Uislamu Hilo halina Tatizo Tatizo Ni Pale Ukatoliki Unapobaliki Waumini Mtafunane Wakiongozwa Na Bwana Papa.Hata Wewe Ukiwa Shoga Haimaanisha Ukoo Wenu Wote Mnatafunwa Itakuwa Wewe Ndo Umeamua Kutafunwa Kwa Hiyo Usiogope Ukisikia Mwislam Ameamua Kutafunwa Huyo Ni yeye Na Ndio Maana Kuna Waislamu Warevi,Majambazi,Mateja Nk.Waislamu wanaongoza Kwa ushoga na kujilipua katikato ya watu wasio na hatia
Uislamu na waislamu ni mashogaKumbe Ni waislamu Ila Sio Uislamu Hilo halina Tatizo Tatizo Ni Pale Ukatoliki Unapobaliki Waumini Mtafunane Wakiongozwa Na Bwana Papa.Hata Wewe Ukiwa Shoga Haimaanisha Ukoo Wenu Wote Mnatafunwa Itakuwa Wewe Ndo Umeamua Kutafunwa Kwa Hiyo Usiogope Ukisikia Mwislam Ameamua Kutafunwa Huyo Ni yeye Na Ndio Maana Kuna Waislamu Warevi,Majambazi,Mateja Nk.
Kwa Ushahidi Wa Papa Francis Au Wako?Uislamu na waislamu ni mashoga
Ulimpiga kwa manenoHamna sijashiriki ila nilikuepo nikimuangalia
Kuna mazingira mengine wezi wanachomoka. Kuna siku tulimpiga mwizi hostel ndani. Hakuna mawe ni chupa za soda tu na ngumi. Halafu watu wanapiga bila mpangilio mwisho wa siku mnapigana Hadi wenyewe hapo mwizi lazima achomoke koz huwezi kurusha chupa. Kumfikia tu na kumpiga umepangua watu kama 600Kweli wanaume mmepiga mwizi na hajafa, hayupo wodi mahututi na anapata jeuri ya kuja kutafuta waliompiga...!
Umelewa...? π€£π πHuku mtaani kuna mwizi alichezea kichapo usiku baada ya kutuhumiwa ni mwizi na kama mnavyojua hili neno ukiitiwa usiku wa saa 7 hata kama sio mwizi raia wanapiga.
Sasa inasemekana kapona hajafa na polisi wanataka kumpitisha awatambue waliompiga na Mimi nilikua nimeenda kumshuhudia akichezea kipondo nawaza asijepata wenge akanijumuisha na Mimi kwamba nilimtembezea mkong'oto.
Nauliza hapa kama nikakamatwa na mimi natokaje kwenye huu msala wakuu sababu hapa JF ni kisima cha maarifa.
Maoni yenu muhimu wakuu