Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
Wakurungwaaa nisaidieni naona naenda kufilisika kisa mbunyenye
Tatizo unachungulia pesa sana wewe alafu umeshaitafuna au bado??Habari zenu.
Aisee kuna mwanamke nimeingia naye kwenye mahusiano nina kama week sasa kasha nitoboa pesa kibao,yani sijui kaniona nina pesa sana,akikaa kidogo lazima aje ofisini anitoboe pesa,nishachoka sasa naombeni msaada nimkabili kwa dizaini gani,maana huku kuna wataalam wa mambo haya na jinsi ya kukomaa na wanawake wa dizaini hii.
Wakurungwaaa nisaidieni naona naenda kufilisika kisa mbunyenye
BadoKitu kimoja unatakiwa kujua ni kuwa mwanamke akimpenda mtu kwa dhati toka moyoni kabisa huwa hamuombi hela kabisa! Amini kabisa nakwambia. Ukimsaidia sawa usipompa hakuombi!
Ukiona mwanamke anaomba sana hela jua anakuchukulia poa na hajali ukiondoka maishani mwake au ukibaki.
Nje ya mada, huyu dada umeshagonga au bado?
Wa nini sasa wewe?Bado
Hapo apige sound ajilie asepee tu maana kashaonga Sanaa [emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo unachungulia pesa sana wewe alafu umeshaitafuna au bado??
Kama bado mwambie akupe budget ya makolokolo yk yote then mwambie weekend utampatia hiyo pesa jmosi iite lodge maliza nayo km unapesa mpe na ufute no. Yake.
kama huna piga sound ukiwa umemega ataumia tu hatakwambia ukitoka hapo block kabisa hiyo manzi sio..
Huenda ulimpa umuhimu mkubwa sana wakati unamtongoza, akajiona anathamani sana kwako ndio maana Kila anachokuomba anaamini utamjali tu.Bado