natumia hiyo gari.
ukweli ni gari nzuri sana kwa upande wangu mm ni kuwa changamoto zake ni kuhusu mfuko wako tu.
ukiitunza vizuri hutojutia hiyo gari but ukishindwa kuihudumia utaiona gari ambayo siyo nzuri ila ukweli ni mmoja tu nissan spea zao ziko juu.
ila kama unamiliki nissan ambayo umenunua mwenyewe huwesi shindwa nunua spea zake
nachoweza kukushauri chukua tu maana ni gari ngumu sana na ya heshima sana ukimiliki