Naombeni ushauri kuhusu Nissan Terrano

Naombeni ushauri kuhusu Nissan Terrano

mwanajamii1

Member
Joined
Sep 26, 2010
Posts
15
Reaction score
7
Habarini wanajamii,

Nataka kununua Nissan Terrano ya 2000 Diesel. Naombeni uzoefu wenu kuhusu gari hili, hasa kwenye ubovu na matatizo yake common, maintianance nk.

Natanguliza shukrani.
1592805195722.png




Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
natumia hiyo gari.
ukweli ni gari nzuri sana kwa upande wangu mm ni kuwa changamoto zake ni kuhusu mfuko wako tu.
ukiitunza vizuri hutojutia hiyo gari but ukishindwa kuihudumia utaiona gari ambayo siyo nzuri ila ukweli ni mmoja tu nissan spea zao ziko juu.
ila kama unamiliki nissan ambayo umenunua mwenyewe huwesi shindwa nunua spea zake


nachoweza kukushauri chukua tu maana ni gari ngumu sana na ya heshima sana ukimiliki
 
Back
Top Bottom