Babu wa Loliondo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 323
- 105
Habari wanaJamii,
Naombeni ushauri wenu kuhusu hawa ZOOM Tanzania ,leo katika pita pita zangu kwenye mtandao wa google,nikakuta CV yangu ambayo niliitumia kuomba kazi kati ya kazi ambazo hua wanatoa kwa kutumia link ya e-mail wanayoonesha kwenye nafasi husika.
Hata wewe hapo ulipo fungua ukurasa wa GOOGLE kisha andika neno hili "zoomtanzania cv " kisha tafuta,itakuletea CV za watu wengi sana si ajabu na ya kwako inaweza ikawepo....Ushauri ninaomba kwenu ni kua niwachukulie hatua za kisheria kwa kuweka wazi (publish) taarifa zangu binafsi bila ya ruhusa yangu au kama kuna sheria inayoruhusu CV au taarifa binafsi za mtu kuanika kwenye mtandao bila ya mhusika kujua ambayo mm siijui naomba pia kujuzwa!!
Asanteni,
Naomba kuwasilisha!