Naombeni ushauri kwa aina hii ya mbwa

Naombeni ushauri kwa aina hii ya mbwa

Joined
Aug 23, 2020
Posts
6
Reaction score
6
Jamanii kwa anae jua mbwa naomben msaada uyu n aina gani ya mbwa

IMG_20210331_134945_1.jpg


IMG_20210331_135006_1.jpg


IMG_20210331_132630_4.jpg
 
Mbwa ni matunzo tu ukitaka awe koko atakuwa koko,.Nb Huyo Mbwa ni German Shepherd sema sema Mzingatie Misosi na matunzo baada ya mwezi mmoja lete mrejesho.
 
Hiyo picha ya kwanza inaoneha hakuridhia kabisa kitendo cha kupigwa picha.
 
Back
Top Bottom