sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Mimi nahitaji game moja tu! FIFA!Kuchip unapata games kwa urahisi sana ndugu, unaweza kuongeza game au magame mengi bila kuathiri mengine. Zile za digital huwez fanya hivyo, ni gharama
Ukihitj huduma ya kupata games za ps4 ps3 ps2 pc nichek hapa man 0710701361, nafika uliko kwa dar 0710701361
Games za OG zitakufanya ucheze online utacheza na friends walio online bila hata ya kukutana nao kwangu mimi na penda games za OG sinaaja ya kumtafuta mtu kuja ku update kikosi vya timu kama ligi za ukweli zinavyo endelea kama kuna timu inafanya vizuri au mchezaji kiwango chake kimepanda basi kwenye game OG una update tu sio adi utamfute mtu wa ku chip aje kukuingizia ma file kwangu mimi achana na PS za kuchipNina ps4 , Version yake ni 9.00,
Binafsi kwenye games ni mpenzi wa mpira tu, mfano Fifa.
Sasa Je, kibongo bongo
A. Nicheze game original ?
B. Niichipu niwe naenda kuingizza games kwenye vibanda vya ps ?
Zote sawa tu ndugu maana kama akaunti ni ya offline bado uko sawa na yule wa kuchipMimi nahitaji game moja tu! FIFA!
wapi nta enjoy zaidi, kucheza kwa cd au kuchip ?