Naombeni ushauri Kwa yeyote ambaye anafahamu biashara ya kupeleka mbuzi Kiwandani

Joined
Dec 25, 2022
Posts
84
Reaction score
111
Naombeni ushauri Kwa yeyote ambaye anafahamu biashara ya kupeleka mbuzi Kiwandani hususani Tan choice au Union meat Group, je kwa namna ya upimaji wa mbuzi au kondoo Kwa kilo ipo faida yoyote??

Nauliza hivi kwasababu ni nyama pekee ndiyo inayopimwa,bei Kwa Kilo ni sh ngapi? Ngozi,vichwa na Matumbo hua havipo kwenye vipimo maana yake kiwanda husika huvichukua for free kama low materials.

Naomba kujua biashara hii inafaidia kiasi gani kwasasa?

UZI WA Rey Mage nimeupitia lakin sio currently Kwa miaka hii .
 
wapi ninaweza kupata soko la uhakika ukiachana na kupeleka kiweandanl
Naombeni ushauri Kwa yeyote ambaye anafahamu biashara ya kupeleka mbuzi Kiwandani hususani Tan choice au Union meat Group, je kwa namna ya upimaji wa mbuzi au kondoo Kwa kilo ipo faida yoyote??

Nauliza hivi kwasababu ni nyama pekee ndiyo inayopimwa,bei Kwa Kilo ni sh ngapi? Ngozi,vichwa na Matumbo hua havipo kwenye vipimo maana yake kiwanda husika huvichukua for free kama low materials.

Naomba kujua biashara hii inafaidia kiasi gani kwasasa?

UZI WA Rey Mage nimeupitia lakin sio currently Kwa miaka hii .
Habari kaka naomba nikujibu kwa ufahamu wangu
Nadeklea interest mimi ni mdau nipo huko for years nimestop,kwa kua msimu mbaya,ntakujibu kulingana na uhalisia uliopo broo!!
Kwanza biashara ya mbuzi ni baishara kama zingine,zinahitaji kujituma,kufanya kazi kwa bidii,wapo wengi wametoboa kupitia hii baishara ni Mungu kumueka mbele tu
Naomba nikuelezee kwa minada ya mkoa wa Dodoma yote maana ndo minada ninayofanyia kazi zangu
Minada ni kuanzia tareh moja mpk 31 kila siku from january to desemba
Minada mingi ipo Vijijini na hakuna lami,magari yapo kila siku ya kwenda minadani kulingana na Wilaya husika ,Ila Chamwino wanashea na Bahi baadhi ya minada mikubwa,Mpwapwa wana minada yao nao,Chemba wanashea na Kondoa baadhi ya minada yao pia ni wewe unataka uende wapi

Nakuja kwenye masoko sasaa...!!!Inategemea unapeleka wapi,Dar ,Zanzibar, mikoa mingine,nje ya nchi au Kiwandani,au wataka uuzie nyumbani kwako,masoko yapo mengi saanaa wakuu ni wewe na soko lako.

Tuje weye unaetaka kupeleka kiwandani,jamani pale ni kila mtu ana karibishwa peleka mbuzi wako tu kuanzia watano kwenda juu
Viwanda ni hivi vifuatavyo
Tanchoice(wandewa,manguli,pioneer,game changer)
Union kipya kipo Chalinze
Epic sources(wanakuja na kuondoka) wapo Dodoma pale pale mjini
Kingine kipo morogoro pia nacho cha msimu
Bei za mbuzi per kg inategemea na soko kuanzia 10500 mpk 12000 it depends na soko la dunia
Faida ipo inategemea na manunuzi yako na mtaji wako pia,faida ipo hasaa wala sio masikhara ila sasa unanunuaje,kupata milioni kupo na kukata milioni pia ipo.
Naomba nianze kukulezea tanchoice kila kitu
Hawa hawapendelei majike wanataka sana madume na kuna msimu majike yanapigwa stop kabisaa.
Wanataka mbuzi kuanzia 7 point mwisho 8 au tisa unless wawe na oda ya mbuzi kubwa
Ukipeleka mbuzi 20 mfululizo wanakupa advance ,wana centre yao pale Narco dodoma ila ipo ndani kidogo kuelekea mkoka huko (nshawahi fika)hawa bwana ni kucheza nao kwa akili kuna mda unapata faida na kuna mda kinakurambaa utamu hasaaa...uzuri pesa yao haichelewi hata saa nane usiku unalipwa ,labda kuwe na dharura
Na ukifanya nao biashara unatakiwa uwe na akaunti CRDB tu..
Pale NARCO TANCHOICE WANAPIMA MNYAMA ALIE HAI ZILE KGS WANAZOPATA WANAZIDISHA NA 0.45 NDO wanakupa uzito wako mfano mbuzi hai ina kgs 20,watazidishha 0.45 ili kupata uweze kulipwa
Hasara za tanchoice wana wadau wengi wengi wengi almost mikoa yote hvyo kuna mda wanachanganya kilo hapo sasa utalia na wakishatuma uzito wako hiyo ndo ntolee hakuna marekebisho tena
Tuje Union hawa ni wapya bado wageni sokoni wameanza nadhani last year if amn not mistaken,wanapima vzr faida ipo nyingi saana ila sasa pesa inakaa jamani balaa..na hawa usafiri unagharimika mwenyewe
Mwanzo walianza vzr sana ukifka unapima unalipwa hapo hapo au within hours baadae wakaanza kukaa na pesa za wadau mda mrefu,unapima leo unalipwa after 2 to 3,weeks ,kama huna mtaji mkubwa inakula kwako labda kama wamejirekebisha hivi karibuni maana miezi miwili sijafanya business msimu huu napumzika ,ila hii wengi inawakata stimu

Epic sources wao wanajitahidi kulipa wakichinja ndani ya siku nne mpk 7 inategemea ,huyu anaenda kwa oda ,kuna kipindi anachinja 300 pieces hapo analipa fastaa ,order zikikata nayeye anastop pia,ila pazuri kukuzia mtaji wako,hawaibi hawa ,msimu ukiwa mzuri hela ipo kwa Hawa watu...

Nadhani ntakua nimekupa mwangaza brother u may ask other things i can help you out!

Ni changamoto sana kwakweli
Unaruhusiwa kutuma mtu akasimamie uzito wake brother kote hukoo nilikokuambia watu wanafanya hvyoo mfano hapo Union na Morogoro mbona tunatumaga mtu tunamlipa maana pale utaratibu wake bado wako wachanga
Inshort hii biashara ni biashara kicha kam zingine ujue!!komaa tu
Na kingine huu sio msimu wa biashara brother wait October anza kazi pale mbuzi zinakua chini ukienda na 3m unajikuta mpk january Mungu akifungua una 5m plus huko

Sema mwaka huu toka vita vya US Na Iran ianze daahh...wametuumiza sana baasi tu.
 
Ni mwezi wa ngapi mbuzi huwa na bei sana viwandani?
 
Unaruhusiwa kutuma mtu akasimamie uzito wake brother kote hukoo nilikokuambia watu wanafanya hvyoo mfano hapo Union na Morogoro mbona tunatumaga mtu tunamlipa maana pale utaratibu wake bado wako wachanga
Inshort hii biashara ni biashara kicha kam zingine ujue!!komaa tu
Na kingine huu sio msimu wa biashara brother wait October anza kazi pale mbuzi zinakua chini ukienda na 3m unajikuta mpk january Mungu akifungua una 5m plus huko

Sema mwaka huu toka vita vya US Na Iran ianze daahh...wametuumiza sana baasi tu.
Hicho cha chalinze kipo maeneo.gani?
 
Habari kaka naomba nikujibu kwa ufahamu wangu
Nadeklea interest mimi ni mdau nipo huko for years nimestop,kwa kua msimu mbaya,ntakujibu kulingana na uhalisia uliopo broo!!
Kwanza biashara ya mbuzi ni baishara kama zingine,zinahitaji kujituma,kufanya kazi kwa bidii,wapo wengi wametoboa kupitia hii baishara ni Mungu kumueka mbele tu
Naomba nikuelezee kwa minada ya mkoa wa Dodoma yote maana ndo minada ninayofanyia kazi zangu
Minada ni kuanzia tareh moja mpk 31 kila siku from january to desemba
Minada mingi ipo Vijijini na hakuna lami,magari yapo kila siku ya kwenda minadani kulingana na Wilaya husika ,Ila Chamwino wanashea na Bahi baadhi ya minada mikubwa,Mpwapwa wana minada yao nao,Chemba wanashea na Kondoa baadhi ya minada yao pia ni wewe unataka uende wapi

Nakuja kwenye masoko sasaa...!!!Inategemea unapeleka wapi,Dar ,Zanzibar, mikoa mingine,nje ya nchi au Kiwandani,au wataka uuzie nyumbani kwako,masoko yapo mengi saanaa wakuu ni wewe na soko lako.

Tuje weye unaetaka kupeleka kiwandani,jamani pale ni kila mtu ana karibishwa peleka mbuzi wako tu kuanzia watano kwenda juu
Viwanda ni hivi vifuatavyo
Tanchoice(wandewa,manguli,pioneer,game changer)
Union kipya kipo Chalinze
Epic sources(wanakuja na kuondoka) wapo Dodoma pale pale mjini
Kingine kipo morogoro pia nacho cha msimu
Bei za mbuzi per kg inategemea na soko kuanzia 10500 mpk 12000 it depends na soko la dunia
Faida ipo inategemea na manunuzi yako na mtaji wako pia,faida ipo hasaa wala sio masikhara ila sasa unanunuaje,kupata milioni kupo na kukata milioni pia ipo.
Naomba nianze kukulezea tanchoice kila kitu
Hawa hawapendelei majike wanataka sana madume na kuna msimu majike yanapigwa stop kabisaa.
Wanataka mbuzi kuanzia 7 point mwisho 8 au tisa unless wawe na oda ya mbuzi kubwa
Ukipeleka mbuzi 20 mfululizo wanakupa advance ,wana centre yao pale Narco dodoma ila ipo ndani kidogo kuelekea mkoka huko (nshawahi fika)hawa bwana ni kucheza nao kwa akili kuna mda unapata faida na kuna mda kinakurambaa utamu hasaaa...uzuri pesa yao haichelewi hata saa nane usiku unalipwa ,labda kuwe na dharura
Na ukifanya nao biashara unatakiwa uwe na akaunti CRDB tu..
Pale NARCO TANCHOICE WANAPIMA MNYAMA ALIE HAI ZILE KGS WANAZOPATA WANAZIDISHA NA 0.45 NDO wanakupa uzito wako mfano mbuzi hai ina kgs 20,watazidishha 0.45 ili kupata uweze kulipwa
Hasara za tanchoice wana wadau wengi wengi wengi almost mikoa yote hvyo kuna mda wanachanganya kilo hapo sasa utalia na wakishatuma uzito wako hiyo ndo ntolee hakuna marekebisho tena
Tuje Union hawa ni wapya bado wageni sokoni wameanza nadhani last year if amn not mistaken,wanapima vzr faida ipo nyingi saana ila sasa pesa inakaa jamani balaa..na hawa usafiri unagharimika mwenyewe
Mwanzo walianza vzr sana ukifka unapima unalipwa hapo hapo au within hours baadae wakaanza kukaa na pesa za wadau mda mrefu,unapima leo unalipwa after 2 to 3,weeks ,kama huna mtaji mkubwa inakula kwako labda kama wamejirekebisha hivi karibuni maana miezi miwili sijafanya business msimu huu napumzika ,ila hii wengi inawakata stimu

Epic sources wao wanajitahidi kulipa wakichinja ndani ya siku nne mpk 7 inategemea ,huyu anaenda kwa oda ,kuna kipindi anachinja 300 pieces hapo analipa fastaa ,order zikikata nayeye anastop pia,ila pazuri kukuzia mtaji wako,hawaibi hawa ,msimu ukiwa mzuri hela ipo kwa Hawa watu...

Nadhani ntakua nimekupa mwangaza brother u may ask other things i can help you out!
Mkuu hao jamaa wote wanapokea pia kondoo kwa wingi?
 
Back
Top Bottom